Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

Kikwete ana maswali ya kujibu akija Arusha. moja ya swali inahusu kauli ya uvccm (umoja wa vijana wa chama cha mashoga) kuwa rais ajaye wa 2015 anamjua yeye, na hatatoka kanda ya kaskazini kamwe. ooooh! kumbe kasepa!
 
Mkuu una maana kwamba amekimbia bendera na mabango?Hivyo vinatisha usalama kweli?

inategemea na ujumbe..mfano ujumbe ukipelekea mshituko mpaka kuzimia kama kawaida yake hapo hujahatarisha maisha..
 
Hawezi kwenda Arusha, pakukimbilia alishaandaa ni Abughabi, huko alishatengeneza ZOO na anamakazi bora sana huko lakini tukichukua nchi tutamfuata huko na tutamchinja kama rafiki yake Gadafi,
 
Mkuu una maana kwamba amekimbia bendera na mabango?Hivyo vinatisha usalama kweli?

ni usalama wa kisiasa mkuu, kwamba ataelelezwa kwamba hana ushawishi tena kwenye siasa za Arusha. Hii kwake ina double impact kama mwenyekiti wa chama chake na rais wa nchi!
Kwenye picha ya macho ya dunia na nchi nzima ni zaidi ya anguko na pigo kwa utawala wake!
Umeona usalama unavyotishika hapo J??
 
Hivi hichi cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani kwenye nchi hii, kama sio ku misuse resources za wananchi,.

Afu ni mzanzibari wakati zanzibar hawautaki muungano, isitoshe watu wa bara kibao wanataka ajira wao wanajifanya wakarim wanaimport akina bilali na naodha
 
Basi hii imeishakuwa vita tena kama kweli raisi anaogopa kwenda sehemu ndani ya mipaka ya nchi yake.
 
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Kuna bomba moja la maji taka linatokea usawa wa Ofisi ya Mkemia Mkuu na Ikulu kuingia baharini. Tutaanza kumtafutia humo!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom