kuitafasili = kuitafsiri
Makosa mengine ni ya kiufundi (spelling, coma, full stop, capital letters) zaidi. Hayo ni meyawacha kwani najuwa ni jazba kila unapomtaja Kikwete.
Utakosaje kuwa na Jaziba unapomtaja mtu ambaye chini yake
1. Thamani ya Shillingi vs US Dollars imeshuka na kuwa kama sisimizi.
2. Inflation imepanda na kufikia viwango vya wakati wa vita ya pili ya dunia
3. Kumekuwa na ukosefu wa umeme kama vile mvua Jangwani
4. Rushwa imezidi kwa mbali sana viwango vya Kenya.
5. Madawa ya kulevya sasa yametapakaa vibaya sana soon tutakuwa Mexico ya Africa Mashariki.
7. Katika kila tatizo hayupo kama kiongozi kutupa maelekezo.
8. Katika Africa, Tanzania ndio nchi pekee ambayo Mabomu yanaripuka yenyewe na kuua wanajeshi na raia,
watoto na wanawake.
9.Elimu na Huduma bora za Afya za uhakika zinapatikana kwa si zaidi ya asilimia tano ya Watanzania wote.
Hapo hapo, one year ago. mtu huyu alitoa ahadi nyingi kama za kwenye Biblia, Aliahidi kujenga Hospitali ya Rufaa
almost katika kila mkoa, aliahidi kupeleka meri mpaka kwenye maeneo yenywe mabwawa, Bajaji nchi nzima oooh
Mama Yangu.
Unawezaje ukafurahia unapotaja Jina la Mtu huyu.