SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
Mmmh mada nyingine! Mapinduzi Tanzania bado saaana. Unajua tatizo CDM mnaona wahuni na machinga mijini wakiwashangilia ndo mnadhani mmefanikiwa. Ukweli ni kuwa KURA zipo vijijini! Jijengeni huko. La sivyo 2015 mtalalamika tena!
Siasa za bongo uchwara kweli kweli ndo maana mie naona bora CCM.