Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,207
- 41,982
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!
Hata mm nimeduwaa kidogo hapa mkuu coz logically it doesn't make sense at all, mtu kamaliza chuo miaka 4 iliyopita, she's got no experience at all except for the series of bad experiences she's had in the past then gafla bin vuu kapata ajira tena managerial position,duh! Ila ya Mungu mengi, greatest lesson from this whole story is FORGIVENESS, hiyo siwezi pingana nayo.
Baba alinitelekeza ht primary sch sijaanza! Nimepitia magumu sn mpk kufika iaa na udsm, thanx God! Namiliki kibanda mbz, mke, watoto wwl! Na this year nimekuwa promoted to Hod. Silipi kisasi, ila nafanya yng kivyangu vyangu.
Sijamsamehe!
Kusamehe sio kitu kirahisi sana , ila ni kumwomba mungu tu atuwezeshe
Ok thanx ubarikiwe, embu ngoja nicheck check ni nani alinikosea na nina kinyongo nae nikatangaze msamaha chaaaapu ili hizi baraka ziendelee kunimiminikia.
Unamsamehe mtu ambaye nae anaonesha nia ya ndani kabisa ya kutaka msamaha kama hata kuomba msamaha haombia au hata kujiweka katika namna ambayo wewe unaona huyu mtu anajutia kitendo alichokifanya hafanyi aunaanzaje kutoa msamaha .
Mimi binafsi Mungu anisaidie tuu maana na mzazi wangu wa kiume hata pua yake siijui sasa unaanzaje kusamehe mtu ambaye unajua yupo lakini hajaona umuhimu hata wa kukutafuta
Mungu ni mwema ananibariki nami naona baraka zake kwakweli.
Mungu aniwezeshe kwa kweli, naitambua nguvu ya msamaha lakini nashindwa kusamehe100%, wakt mwingine sijielewi kama nimesamehe au laa!! kuna majina nikisia yanatajwa nahisi tumbo linanijata, niombeeni jamani!!
Weee ndio nimekuelewa vzr ktk hii thread!
Nadhani kuna haja ya kuishi kwa kukariri!
Kwamba eti ukishaitwa baba ama mama, basi LAANA inatoka toka hovyo tu!
Haiwezekani!
M. Mungu nae anaangalia! Wapi laana ipite na wapi laana isipite!
Nakubali kusamehe ni muhimu, ndio sio kila kitu basi!
Hata bingwa wa kusamehe MANDELA kuna wkt ikafika akawa na KIKOMO, akaona inatosha!
Hivi kila USIEMPENDA - UNAMCHUKIA? ninachojua mm nina vitu viwili tu kwake: SIJAMSAMEHE hiyo hata yeye anajua!
SINA MAPENZI nae km baba hata! Ndio CHUKI hii!
Sina uhakika km namchukia ama laah, labda, ila najishughulisha na HAMSINI zangu, alionifanyia ni darasa tosha!
Mengine hayanihusu! Hii kusamehe samehe wkt mwingine tuwe tunaweka kikomo bhana! Kila kitu samehe, samehe!
Hawa wengine waacheni wabebe misalaba yao hapa hapa tu!
Alinikataa utotoni! Na bado hajanikubali ukubwani!
Mm kutomsamehe BABA ni sehemu ya mipango ya m.mungu, anamuonyesha kuwa MKOSEFU!
Tena Mungu ndo anataka hivyo
Sio lzm yy aonyeshe km anajutia ww samehe tu hivyo hivyo
Yy ss ndo atakuwa anahangaika
Sio rahisi kama ambavyo unadhania christina ibrahim unajua katiak age ndogo unamuona mama anavyo hangaika anakimbizana huku na huko ili wewe upate school fees mara umeumwa mama yeye ndo kila kitu unajua nikiwa na miaka kumi na mbili seriously ilibidi nimwambie mama anieleze ukweli maana kila mara alikuwa ananirusha rusha lakini baada ya kuelezwa ukweli ni ngumu kumuachilia huyo mzee
Sio rahisi kama ambavyo unadhania christina ibrahim unajua katiak age ndogo unamuona mama anavyo hangaika anakimbizana huku na huko ili wewe upate school fees mara umeumwa mama yeye ndo kila kitu unajua nikiwa na miaka kumi na mbili seriously ilibidi nimwambie mama anieleze ukweli maana kila mara alikuwa ananirusha rusha lakini baada ya kuelezwa ukweli ni ngumu kumuachilia huyo mzee
Duuuuu! Kama ndivyo kunauwezekano ukafanya kosa kama lake siku moja.
Mkuu unachanganya mada! Rejea michango yng tng mwanzo wa uzi huu utaelewa!
Unakurupuka mkuu! Hakuna sehemu nimetaja kutaka kutembea na bint yng!
Tina sio kuhusu aliyo yapitia mama yangu ni kuhusu aliyotamka na kuyatenda huyo mzee baada ya kuzaliwa lakini all in all maisha yanaenda na baraka za Kristo zinaninyeshea.unajua ambacho huwa na waza ni kuwa sina baba kwahiyo hayo mawazo yakumtafuta hell noo!Nikwambie kitu wengine tukiandika mama zetu waliypitua hapa wakati baba yupo tena ana uwezo unaweza tamani kuua mtu!
Lkn mwisho wa cku tuliamua kuachilia tu manaake kukaa na kitu moyoni ni mbaya sn presha na mengineyo yatakuhusu!
Wee Msamehe utaona atakavyohaha wala huna haja ya kumtafuta
Ww mwambie Mungu nisaidie nimtoe baba moyoni ni kweli alikosea lkn Mungu anasema tusiposamehe na yy hawez kutusamehe
Yaani NANDERA nilikuwa sijamuwaza lakini baada ya hii thread ndio nimekumbuka haya .Ukiangalia waliyopitia wengine mimi najionaga nna neema sana ndiyo maana hata siyawazi hayoinaelekea miaka 12 ndo muda wa watoto kuulizia baba zao. hahahahaaaaaa,,,,,,,,Mimi niliuliza nikiwa na miaka 12 lakini ni baada ya kutumwa na jirani mfyukunyuku. Vinginevyo sijui hata kama ningekaa niulize. Mi nilikuwa naona poa tu hata wazo la kuwa hakuna baba sikuwahi kuwa nalo. Sasa bibie huyo mzee wako anajua namna unavyoteseka moyoni kwa ajili ya matendo yake? Si ajabu naye huko aliko anafurahia namna alivyomkomesha mamako na "kitumbili chake". Kumwachia ni ngumu lakini ukifanikiwa kufanya kitu chochote ulichoona ni kigumu aisee unakuwa mtu wa tofauti sana.
Sio rahisi kama ambavyo unadhania christina ibrahim unajua katiak age ndogo unamuona mama anavyo hangaika anakimbizana huku na huko ili wewe upate school fees mara umeumwa mama yeye ndo kila kitu unajua nikiwa na miaka kumi na mbili seriously ilibidi nimwambie mama anieleze ukweli maana kila mara alikuwa ananirusha rusha lakini baada ya kuelezwa ukweli ni ngumu kumuachilia huyo mzee
Alikuwa kitaani ghafla anapata ukurugenzi!!
Tina sio kuhusu aliyo yapitia mama yangu ni kuhusu aliyotamka na kuyatenda huyo mzee baada ya kuzaliwa lakini all in all maisha yanaenda na baraka za Kristo zinaninyeshea.unajua ambacho huwa na waza ni kuwa sina baba kwahiyo hayo mawazo yakumtafuta hell noo!