Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

nilifmania wife na babaang live, nkaend mbal il nicwaone. nkiwa naaso uko mzee m1 alnshaur nird na kufogiv?? i can't

Pole sana rafiki kwa uliyoyapitia,pamoja na yote hayo Tangaza msamaha,samehe kabisa ondoa uchungu moyoni mwako,mwachie Mungu mwenyewe ahukumu,pitia wimbo mmoja page za mwanzoni umewekwa na Bujibuji utakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ungezungumzia kusamehe tu basi hayo mengine ya mafanikio yanazua utata wa story yako.

Mkurugenzi gani anayeweza kujenga ghorofa, fuso mbili na biashara kwa kuchukua kiwandani in less than 9 months? Kama ni kweli basi kuna kitu nyuma yake kimejificha.

I wish if possible ningemuexpose........naye yumo humu humu JF,nilimuomba sana niweke story hii tujifunze wengi, BTW if God says Yes nobody can No, kama wewe ni mkristo kasome Kumbukumbu la torati 28,kuna baraka tele zimetajwa pale kama mtu atatii na kufuata yote yaliyoamriwa na Mungu,ila katika mstari 2 ndicho nilichokiona kimemtokea huyu rafiki yangu,baraka zimemfuata mpka zikampita,hii ni miezi 9 tu sipati picha miaka 2,au 5 itakuwaje?
 
@Everlenk mada yako nzuri na inafundisha lakini sitokaa kamwe niisamehe ccm kwa upuuzi waliofanya huko dodoma!
 
Its True, To Forgive Is To Set Prisoner Free, And The Prisoner Is You.
 
mie napata somo hapa...ingawa mtihani mkubwa niliofaulu ni kueza kuwasamehe wajomba zangu waliosababisha kifo cha mamaangu....
kwa hiyo usipowasamehe mama yako atafufuka! !? ? ? ?.
 
Niko tution najifunza kusamehe na kusahau, before nilisamehe na kukumbuka ulicho nifanyia milele
 
Weee NANDERA huyu atasamehewa na mungu wake, sio mimi!
Nashukutu kwa katiba!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,wewe si wa kwanza kupitia hayo hata huyu best yangu alipitia mambo magumu sana,njia yake haikuwa rahisi hata hiyo elimu kaipata kwa shida sana. Pamoja na yote tangaza msahama kwa baba yako hata kama haonyeshi nia,sisi wote ni wakosaji mbele za Mungu,wewe tangaza msamaha muachie Mungu kazi yake kuhukumu.
everlenk mimi cmuhukumu baba na wala sinmuhukumu, hayo ni m.mungu!
Atasamehewa na muumba wake!
 
Last edited by a moderator:
@Everlenk mada yako nzuri na inafundisha lakini sitokaa kamwe niisamehe ccm kwa upuuzi waliofanya huko dodoma!

Hahahaha!!! Loh! Mi nadhani mpka hapa umewasamehe ungekuwa hujawasamehe ungewafata bungeni kuwachapa,usijali tuungane wote kwenye kupiga kura hiyo ndo second chance tuliyonayo.
 
everlenk mimi cmuhukumu baba na wala sinmuhukumu, hayo ni m.mungu!
Atasamehewa na muumba wake!

Kusamehewa na muumba wake ni kazi yake muumba lakini si wewe,nawe pia una nafasi yako muhimu sana kutangaza msamaha,samahani slim5 we ni dini gani?
 
Last edited by a moderator:
Weee NANDERA huyu atasamehewa na mungu wake, sio mimi!
Nashukutu kwa katiba!

inawezekana kabisa mungu wake alishamsamehe, nani aujuaye moyo wa mtu? halafu unafikiri watu wote wanaotelekeza watoto wanashtakiwa na dhamiri zao? Swala hapa ni kwamba kama kumchukia kwako baba yako hakuathiri ustawi wako wa kiroho wala kisaikolojia na hata kimwili, basi mwache baba asamehewe na mungu wake. ila kama unaumia na hata ukitype mikono inatoka povu kuna haja ya kuachia hiyo negative energy ikutoke. hilo faili ubongoni mwako unalolitumia kumhifadhi baba unayemchukia na nguvu unayotumia kumchukia ungetumia kufanyia mambo mengine mazuri sana. With time naamini utamwachia tu, na mimi nitakuombea moyo wako ulainike.
 
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!

Aisee muombe Mungu akusaidie usamehe. Mwambie Mungu, mimi siwezi naomba nionyeshe njia jinsi ya kuondokana na hili tatizo. Hakika utasamehe na utashangaa mambo yako mengi yanabadirika sana
 
yani nimesoma nami nikatua mzigo.. kuna mtu kaniudhi leo na nikasema simsamehi. ila baada ya kusoma hii nimeishiwa pozi zooote.
 
Aisee muombe Mungu akusaidie usamehe. Mwambie Mungu, mimi siwezi naomba nionyeshe njia jinsi ya kuondokana na hili tatizo. Hakika utasamehe na utashangaa mambo yako mengi yanabadirika sana

Mkuu hawa watu mpaka niwapitishe na wao kwenye maumivu ndo roho yangu iridhike.
 
Dah..hua sipendi kubaki na kinyongo moyoni ila nasamehe yule ambae amejutia kosa lake tu
 
Yeye asiyesamehe ni sawa na mtu ambae anakataa kubeba ubao, ambao akifika mtoni anaambiwa bila ubao uliouacha hutaweza kuvuka. Hivyo anapaswa kuurudia ili avuke.
Hakika everlenk Tunahitaji kumuomba Mungu atupe nguvu ya kusamehe, si rahisi, tunahitaji uwezo wake.
^^
Ni kweli pasipo nguvu ya Mungu msamaha ni mgumu. Lkn tuweke nia ya kusamehe
 
Mungu anisaidie tuu kwakweli maana mmgh!
Pole mkuu lkn omba neema ya Mungu ikusaidie kusamehe. Weka tu nia haijalishi unajisikiaje moyoni lkn mwambie Mungu akupe uwezo wa kusamehe
Kweli kabisa msamaha si kitu chepesi sana mara zote ni kuomba msaada wa alie juu tu maana kila mmoja ana uwezo tofauti na matukio yanauzito tofauti. Kwa mwingine laweza kuwa jepesi lkn mwingine ni jambo kubwa kwake. Kama maandiko yasemavyo kuna mioyo dhaifu.
 
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!

Serious
 
Back
Top Bottom