Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

inawezekana kabisa mungu wake alishamsamehe, nani aujuaye moyo wa mtu? halafu unafikiri watu wote wanaotelekeza watoto wanashtakiwa na dhamiri zao? Swala hapa ni kwamba kama kumchukia kwako baba yako hakuathiri ustawi wako wa kiroho wala kisaikolojia na hata kimwili, basi mwache baba asamehewe na mungu wake. ila kama unaumia na hata ukitype mikono inatoka povu kuna haja ya kuachia hiyo negative energy ikutoke. hilo faili ubongoni mwako unalolitumia kumhifadhi baba unayemchukia na nguvu unayotumia kumchukia ungetumia kufanyia mambo mengine mazuri sana. With time naamini utamwachia tu, na mimi nitakuombea moyo wako ulainike.

Hivi kila USIEMPENDA - UNAMCHUKIA? ninachojua mm nina vitu viwili tu kwake: SIJAMSAMEHE hiyo hata yeye anajua!
SINA MAPENZI nae km baba hata! Ndio CHUKI hii!
Sina uhakika km namchukia ama laah, labda, ila najishughulisha na HAMSINI zangu, alionifanyia ni darasa tosha!
Mengine hayanihusu! Hii kusamehe samehe wkt mwingine tuwe tunaweka kikomo bhana! Kila kitu samehe, samehe!
Hawa wengine waacheni wabebe misalaba yao hapa hapa tu!
Alinikataa utotoni! Na bado hajanikubali ukubwani!
Mm kutomsamehe BABA ni sehemu ya mipango ya m.mungu, anamuonyesha kuwa MKOSEFU!
 
Ndiyo haswaa KUTOPENDA NA CHUKI havipishani kabisa,chuki ni zao la kutopenda,usipopenda lazima chuki izaliwe,katika upendo hamna chuki na upendo ni ukamilifu wa yote.

Si mipango ya Mungu wewe kutomsamehe baba yako,hiyo ni mipango ya shetani na anajua siku utakayomsamehe baba yako utakuwa ni ukombozi wako hivyo anataka wewe uendelee kuwa mtumwa wake.

Kwanza elewa Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mwingi wa fadhili,kama yeye angehesabu maovu yetu hakuna hata mmoja angeishi,Ndiyo maana ametupa kanuni moja tu ili aweze kutusamehe nasi yatupasa tuwasamehe wanaotukosea,hilo tu tena yatupasa tufanye hivyo saba mara sabin tena kwa siku moja.Je kuna mtu anaweza kukosea hivyo kwa siku moja? Pamoja na yote uliyoumizwa tangaza msamaha,Mungu wetu ni wa rehema.
 
Mwe! niseme nini tena? nisije nikaandika katiba nyingine. Basi sawa baba/mama.
 
Ndiyo haswaa KUTOPENDA NA CHUKI havipishani kabisa,chuki ni zao la kutopenda,usipopenda lazima chuki izaliwe,katika upendo hamna chuki na upendo ni ukamilifu wa yote.

Si mipango ya Mungu wewe kutomsamehe baba yako,hiyo ni mipango ya shetani na anajua siku utakayomsamehe baba yako utakuwa ni ukombozi wako hivyo anataka wewe uendelee kuwa mtumwa wake.

Kwanza elewa Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mwingi wa fadhili,kama yeye angehesabu maovu yetu hakuna hata mmoja angeishi,Ndiyo maana ametupa kanuni moja tu ili aweze kutusamehe nasi yatupasa tuwasamehe wanaotukosea,hilo tu tena yatupasa tufanye hivyo saba mara sabin tena kwa siku moja.Je kuna mtu anaweza kukosea hivyo kwa siku moja? Pamoja na yote uliyoumizwa tangaza msamaha,Mungu wetu ni wa rehema.
Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisa
Kwa nini utembee na Baba yako, hata km ni umri wamiaka 10?
ukimsamehe tena atarudia hata mara 70

usiamini mambo ya Laana kutoka kwa Wazazi hata watoto nao wana laana kwa wazazi
mtu yeyote anayeLALA NA NDUGUYE (hasa BABA au MAMA ) ni chukizo kwa MUNGU halina MSAMAHA hapa Diniani hata AHERA
 
mav matupu sasa hadithi hii inatufundisha nin?

Yes ni mavi yenye faida,Hujui samadi ni mavi ambayo tunayaita mbolea,je mbolea ina kazi gani katika mmea?hata mbegu ikipandwa kwenye mbolea sharti ioze ndipo ichepuke. Barikiwa na Bwana.
 
Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisa
Kwa nini utembee na Baba yako, hata km ni umri wamiaka 10?
ukimsamehe tena atarudia hata mara 70

usiamini mambo ya Laana kutoka kwa Wazazi hata watoto nao wana laana kwa wazazi
mtu yeyote anayeLALA NA NDUGUYE (hasa BABA au MAMA ) ni chukizo kwa MUNGU halina MSAMAHA hapa Diniani hata AHERA

Sina sababu ya kutoa laana kwa mtu yeyote yupo muhukumu wa wote ambaye ni Mungu, kila mtu atalibeba furushi lake mwenyewe,huna hata sababu moja ya kukufanya wewe umuhukumu mwenzako hata kama ametenda uovu kiasi gani,jua hili Mungu wetu ni Mungu wa rehema ni mwingi wa fadhili .
 
Tena sana!

Mbona unajitesa namna hiyo? Umekua katili dhidi yako mwenyewe, hivi unawajua ambao umewakosea na wamekusamehe? Je unadhani unastahili msamaha kutoka kwa wale ulio wakosea? Je unadhani wanao kusamehe kila unapo kosea wajinga? Au labda hujawahi kukosea maisha yako yote? Je huyo aliye kukosea wewe ni wa kwanza kukosea au kukutendea kosa hilo wewe hapa duniani? Kwa nini unahofu moyoni? Unadhani yeye alie tuamuru tuwasamehe wanaotukosea ni mjinga? Mpaka sasa Mungu amekusamehe makosa Mengi sana na hata hili amekusamehe je unadhani unastahili? Kama unastahili basi na alie kukosea anastahili kusamehewa. Tafadhali achaukatili dhidi yako mwenyewe na uishi kwa amani na fanya yote uliyoagizwa na Mungu nae atakubariki usipotoa msamaha kwa waliokukosea ni saw a na kukataa maagizo ya Mungu na hivyo umemkataa pia. Maana huwezi sema unampenda Mungu wakati unayakataa maguzo yake labda kama wewe ni muabudu shetani.
 
Funzo la Hadithi:

Mabinti wenye hamu ya mafanikio ya haraka mwende mkabakwe na baba zenu, muwasamehe then mafanikio mtayaona😄
 
Kama maneno yote haya ni ya kweli, na msamaha una baraka zooote hizi, Hivi kwa nyinyi mlio kimyume na rasimu ya katiba iliyopitishwa "kidijitali" pale bungeni hivi karibuni, mko tayari kuwasamehe akina sita na timu yake kwa ajili ya kupata "mijibaraka" kama ya mwenzetu??

Nawaza tu kipuuzi puuzi, msinikasirikie, ikiend imeshaanza...!!!!

Khaaa! Kweli umewaza kipuuzi puuzi.
 
Hujui namna gn niliumia! Hujui namna gn kutokuwepo kwake kulinipoteza ktk dira sahihi ya maisha!
Kwa kifupi niliteseka, nilimature b4 my age!
Na hv hajishughulishi ku-apologize, ndio kbs!
Namtakia all the best ktk maisha yake!
SIJAMSAMEHE!

Duuuuu! Kama ndivyo kunauwezekano ukafanya kosa kama lake siku moja.
 
Dada yangu achana na Imani hizo ni za kishetani kabisa
Kwa nini utembee na Baba yako, hata km ni umri wamiaka 10?
ukimsamehe tena atarudia hata mara 70

usiamini mambo ya Laana kutoka kwa Wazazi hata watoto nao wana laana kwa wazazi
mtu yeyote anayeLALA NA NDUGUYE (hasa BABA au MAMA ) ni chukizo kwa MUNGU halina MSAMAHA hapa Diniani hata AHERA

Weee ndio nimekuelewa vzr ktk hii thread!
Nadhani kuna haja ya kuishi kwa kukariri!
Kwamba eti ukishaitwa baba ama mama, basi LAANA inatoka toka hovyo tu!
Haiwezekani!
M. Mungu nae anaangalia! Wapi laana ipite na wapi laana isipite!
Nakubali kusamehe ni muhimu, ndio sio kila kitu basi!
Hata bingwa wa kusamehe MANDELA kuna wkt ikafika akawa na KIKOMO, akaona inatosha!
 
ww sasa unajichanganya na nguvu hizi za GIZA
unataka kutembea na Bint yako ili upate ujinga?
inaingia akilini kweli Baba mtu mzima kukamata vimiguu vya mwanao na kumuingilia na kumpumulia kweli ETI kuna msamaha

Duuuuu! Kama ndivyo kunauwezekano ukafanya kosa kama lake siku moja.
Mungu aniepushie mbali! Sina fikra hizo! Hapa nilipofika na yf wng na watoto wetu, nasema ahsante mungu!
Halafu hapa chini baada ya kukemea hii Thread unasema MUNGU akuepushe
rudi kwenye uzi km kweli ww una Bint hata mmoja
 
ww sasa unajichanganya na nguvu hizi za GIZA
unataka kutembea na Bint yako ili upate ujinga?
inaingia akilini kweli Baba mtu mzima kukamata vimiguu vya mwanao na kumuingilia na kumpumulia kweli ETI kuna msamaha

Halafu hapa chini baada ya kukemea hii Thread unasema MUNGU akuepushe
rudi kwenye uzi km kweli ww una Bint hata mmoja

Mkuu unachanganya mada! Rejea michango yng tng mwanzo wa uzi huu utaelewa!
 
ww sasa unajichanganya na nguvu hizi za GIZA
unataka kutembea na Bint yako ili upate ujinga?
inaingia akilini kweli Baba mtu mzima kukamata vimiguu vya mwanao na kumuingilia na kumpumulia kweli ETI kuna msamaha

Halafu hapa chini baada ya kukemea hii Thread unasema MUNGU akuepushe
rudi kwenye uzi km kweli ww una Bint hata mmoja

Unakurupuka mkuu! Hakuna sehemu nimetaja kutaka kutembea na bint yng!
 
Pole sana Mkuu slim5 kwa uliopitia. Najua utakua umepitia mengi sana ambayo hukupaswa kuyapitia angali mzazi wako akiwepo. (Its a fact we cant change it now) kuwa imeshatokea na umeshayapitia... halafu kinafuatia nini?

Baba yupo na anaendelea na maisha yake, Wewe nawe unaendelea na maisha yako... Una kila haki na sababu ya kumchukia kuliko mwanaume yeyote KIBINADAMU kwa kujaribu kuangalia alichopaswa kufanya na alichofanya. Well and fine.
Lakini pia una kila haki na sababu ya kuwa na FURAHA na MAFANIKIO ukiangajilia juhudi zako zoote ulizozifanya hadi kufikia hapo ulipo. Una kila sababu ya kuwa huru na moyo wako, una kila sababu ya kujifurahia kuwa pamoja na yoote uliyopitia, Mwenyezi Mungu amekusaidia nawe umekua mtu katika watu.

Inakupaswa sasa ufikiri juu ya KUJIKOMBOA na utumwa huu usioonekana na usiofikirika wa KISASI NA UCHUNGU mwingi unaotembea nao rohoni mwako juu ya mzazi wako, ukitambua kuendelea kuubeba na kujiumiza ni sawa na mtu aliyekunywa sumu akitegemea mwingine afe. Huu uchungu unao wewe, unakutesa wewe, unakuumiza wewe, na KIBAYA ZAIDI hakuna FAIDA yeyote utakayoipata kwa kuendelea kujitesa namna hio. Laiti ingekua unavyombeba aliyekukosea hivyo naye anapata madhara.. afadhali ungesema unamlipia na yeye ajue uchungu uliopitia... laaa hasha., hio inaendelea kukutafuna wewe kaka, na familia yako, na wanao na kazini kwako na kila mahali (indirectly) kwa maana moyo ulio na uchungu hutoa pia uchungu kwa wakati na wakati... (wataalamu watatusaidia hapa)

KUSAMEHE ni kuachilia ile hali ya KISASI na fikra hasi (mbaya) za UCHUNGU na HASIRA kwa mtu aliyekukosea (mkubwa kwa mdogo). Na ifahamike kwamba Kuachilia msamaha ni zawadi pekee na ya kipekee tuyayoweza kujipa sisi wenyewe.

nakuomba mkuu utafakari tena kwa upya, Faida ya kuachilia huo uchungu na kisasi ambvyo kwa namna moja au nyingine inakusumbua kwa kujua au pasipo kujua then
1. Kubali imeshatokea na hukuwa na namna ya kuicontrol
2. Kubali uliumia pasipo sababu
3. Kubali pia mzee anabeba lawama zotem kwa kuumia kwako
4. Jaribu kuangalia mazingira yaliompelekea kufikia hapo (ulevi, anasa, wake wengi, Kiburi, ujuaji, au pengine alikataa mimba au pengine alijua anasingiziwa mimba) halafu jitahidi kuutafakari huo upande wake kwa Huruma bila kisasi
5. Jisamehe mwenyewe kwa kushindwa kujisamehe na kusamehe (ni ngumu sana ukiiacha tu kwama itatokea yenyewe
6. Amua kusamehe na amua aina ya uhusiano unaoutaka na Baba yako
7. Fanya jambo la ujasiri MUANDIKIE BABA YAKO BARUA kama huwezi kumwambia ana kwa ana, then eleza kila kitu na umtangazie msamaha wa dhati kabisa, ukimaliza hio barua ichome moto kwamba ndio mwisho wa kkuteseka kwako na uchungu woote huo. Utakuwa huru kaka.

Nimewahi kukutana na maswahiba ndugu yangu nikiandika hapa wengi wenu wataishia tu kulia kwa uchungu hapa, lakini NILIKATAA kuishi utumwani, nilikataaa kujitia kitanzi mwenyewe, nilikataa kujitesa kwa uchungu kana kwamba ninayemsamehe atafaidi sana, nilikataa kutembea na watu moyoni mwangu na nilikataa kuona nisiposamehe ndio nawakomoa.. kumbe najikomoa mwenyewe. IAM FREE, FREE INDEED. make your wish now.

MUNGU AKUSAIDIE KAKA. NANDERA pole sana na Hongera sana, everlenk asante sana.

Back
Top Bottom