Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

Ivi mfn limetokea tatizo kdg ,tatizo la kikawaida tu ktk kupishana kauli,mwanamke akakasirika na akataka muachane,how will u react na utaichukulia vp io situation
Akitaka tuachane nitaangalia kama anaongea akiwa amepanic, au yupo normal(hajapanick sana)
sasa baada ya hapo nitaangalia kosa nililofanya, kama nalijua hilo kosa then nitalipima na maamuzi ya kuachana.
Kama kosa silijui basi nitamuuliza aniambie wapi nilipokosea,
kama akikataa kuniambia then nitakubali tuachane,
na kama akiniambia kosa alafu nikaona halina kichwa wala miguu basi pia nitamruhusu tuachane...
 
Msamaha unaohusu mapenzi
Labda sio kwa kiumbe huyu mwanamke naemjua.
Kwa mambo mengine nitaomba, lakini kwa huyu mwanamke hapana
Kwahiyo katika maisha yote ya mahusiano haujawahi kuomba msamaha??? Eve for little things?? Mfn amepiga simu haujapokea na amekasirika... Utafanya nini?
 
hata bosi simwombi... sasa kama nishajua nimekosea yanini kuombana msamaha mi nishajua nimekosea nyie kausheni muone nitarudia au vp..!!!
Hahahaha lifestyle yako ipo bomba ila watu wengine kukuelewa kiurahisi ni ngumu
 
Ndio bila shaka yoyote pale ninapogundua makosa yangu basi huwa sinaga sababu ya kujifanya kichwa ngumu.

Neno msamaha kwa mpumbavu litamuua ila kwa mwelevu litamuinua.
Good hiyo imekaa vizuri sana, bless
 
Inapendeza sana...

Pale unapokosea unaomba msamaha yanaisha na pale u apokosewa unaomwba msamaha yanaisha...


Smart911 na mahondaw wake... Ni wepesi sana wa kuombana msamaha pale panapotokea kutokuelewana...

She is easy to admit and say sorry... So do i to her...


Cc: mahondaw
 
Maulana Mola wetu akikutunikia roho ya kuomba msamaha, jua kuwa baraka zake zote ziko kwako!
 
"It takes a strong person to ask for forgiveness,and even a stronger one to forgive".
 
jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.
Pole sana
 
embu naoomba namba zake basi nmkope hata mil 5, mana miradi yote hyo na kila k2 anacho....
msamaha ni jambo zuri sana kwenye maisha, usijaribu kulipiza ubaya kwa ubaya, fanya yaliyomema ili uweze barikikiwa
Wake huitaji kumkopa nenda kakutane na mtesi wako zungumzeni neno msamaha lina mtaji wako mkubwa aliyeshikilia pesa zako ,baraka zako ni huyo usiyetaka kumsamehe fanya msamaha utayaona mapenzi yake aliyejuu atakusamehe,msamaha ni mtaji tena mkubwa sana katika maisha yetu bila kusamehe ni bule.
 
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!
Ni kweli lkn vyovyote iwavyo bila msamaha ni bule jichunguze uone faida upatazo na mazara yakutokusamehe hakika yakupasa kusamehe ili usamehewe na baraka zako zikufuate.
 
Akitaka tuachane nitaangalia kama anaongea akiwa amepanic, au yupo normal(hajapanick sana)
sasa baada ya hapo nitaangalia kosa nililofanya, kama nalijua hilo kosa then nitalipima na maamuzi ya kuachana.
Kama kosa silijui basi nitamuuliza aniambie wapi nilipokosea,
kama akikataa kuniambia then nitakubali tuachane,
na kama akiniambia kosa alafu nikaona halina kichwa wala miguu basi pia nitamruhusu tuachane...
Hahaha hunaga mambo ya kubembelezagood
 
Huwa nasamehe tu hata bila mtu kuniomba msamaha. Sema inaweza ikaharibu mahusiano kati yetu completely
huu utakuwa ni msamaha wenye masharti magumu.

ukisamehe means umefuta kama hayakutokea, kila kitu kibaki kama awali.
 
Back
Top Bottom