Miss Kim si wewe tu unayeshangaa hata mimi mwenyewe huwa najiuliza maswali mengi sipati jibu nabaki naduwaa,na huko kazini kwake ana kibali si cha kawaida,miezi michache tu amejulikana kupita maelezo na anapendwa na kila mtu, siku moja aliniomba nimtembelee kazini kwake siyo siri nilishangaa mno kwajinsi mdada alivyokubalika na kila mtu.Hata mm nimeduwaa kidogo hapa mkuu coz logically it doesn't make sense at all, mtu kamaliza chuo miaka 4 iliyopita, she's got no experience at all except for the series of bad experiences she's had in the past then gafla bin vuu kapata ajira tena managerial position,duh! Ila ya Mungu mengi, greatest lesson from this whole story is FORGIVENESS, hiyo siwezi pingana nayo.
Yap....kutosamehe ni kujibebesha mzigo/kujitia kiwingu.Ipo nguvu katika kusamehe
jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.
jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.
Baba alinitelekeza ht primary sch sijaanza! Nimepitia magumu sn mpk kufika iaa na udsm, thanx God! Namiliki kibanda mbz, mke, watoto wwl! Na this year nimekuwa promoted to Hod. Silipi kisasi, ila nafanya yng kivyangu vyangu.
Sijamsamehe!
hAKITUPWI KITU HAPATupa kule hii ipo jf long sana.