Mungu aniwezeshe kwa kweli, naitambua nguvu ya msamaha lakini nashindwa kusamehe100%, wakt mwingine sijielewi kama nimesamehe au laa!! kuna majina nikisia yanatajwa nahisi tumbo linanijata, niombeeni jamani!!
Unaweza sana,hujaamua tu,ila kiukweli si kazi rahisi,ila pole pole jifunze kuachilia utajikuta umekuwa mtu wa tofauti kabisa.
Si mimi ila ni mtu wangu wa karibu namuonea huruma sana kila anachokifanya hakiendi,
na ni mtu wa kinyongo aligombana na wazee wake mpaka leo hii hataki kusamehe na yule mzee mmoja alishafariki,
natamani ningeweza kumshawishi afungue moyo pengine ingebadili mustakabali wa maisha yake yote.
Alikuwa kitaani ghafla anapata ukurugenzi!!
Loh! Inatia huruma sana,lakini embu jaribu kumshirikisha haka ka story ka rafiki yetu halafu muachie mwenyewe achekeche.
Ni kweli Himidini umenena vyema peke yetu hatuwezi ila kwa msaada wa Mungu yote yawezekana.
I wish nipate mtu aongee nae maanake hataki hata kusocialize jamani.