Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

Mkuu pole kwa hii changamoto ikitokea ili kunusuru watoto unaweza kuwapatia maziwa ngombe au yaliyotengenezwa kua unga kama mbadala na utawanywesha watoto si chini ya mara sita kwa siku na kila baada ya masaa 2-4 kiwango cha kunywesha kila mtoto ni mls 50 kila unapowatia ila siku za mwanzoni 2 -3weeks. muhimu watoto watengenezewe articificial colostrum kwa ajili ya kutengeneza kinga ya mwili ya kuzuia magonjwa kwenye maisha yao na kama chanzo cha virutibisho n.k

Jinsi ya kutengeneza artificial colostrum lita moja weka maziwa ya vuguvugu nusu lita maji ya vuguvugu nusu lita yai moja (ukipata lakienyeji ni zuri zaidi) kijiko kimoja cha mafuta ya samaki na kijiko kimoja cha mafuta ya mnyonyo
Ikifika week mbili unaweza kuwaanzishia kama ni starter au creep feeding

Kwa upande wa mama yao tafuta dactar afanye diagnosis kutambua chanzo za tatizo atibiwe . Akichomwa oxytocin hormone inayoweza kuchochea kutoa maziwa .
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,

Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.

Natunguliza shukurani,
Thnx.
 
Thnx
 
Kama bado tumia oxtocin kwa siku tatu utakuja kunishukuru
Mpe mls 1 kwa Kila baada ya masaa 3-4
 
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,

Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.

Natunguliza shukurani,
Thnx.

Pole ndugu. Tafuta kampuni wanayozalisha chakula cha nguruwe; kinachoitwa “Pig Lactating mash”. Hiki kinamfanya mama nguruwe anakua na maziwa mengi. Pia vitoto vya nguruwe vikifikisha siku 15; anza kuvipq chakula wanachoita “Creep Feed” kinasaboost wanakua haraka sana.

Kwa emergency ya hii kitu; kitabu ulicho nacho kiache kwanza; nenda kitaalam angalau ulishe mfuko mmoja uone matokeo
 
Back
Top Bottom