Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi.
Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30 yasiyo ya kiserikali yanatoa tahadhari kwa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu kuzorota kwa hali ya haki za binadamu nchini Tanzania.
Wanapendekeza hatua kadhaa za kushughulikia mgogoro huo, ikiwa ni pamoja na kuzingatia taarifa ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu aliyoitoa na, ikihitajika, kuitishwa kwa kikao maalum cha Baraza.
Wito huu umetolewa kabla ya maandamano makubwa, yaliyopangwa kufanyika tarehe 9 Disemba 2025, huku kukiwa na hatari ya kutokea kwa ghasia zaidi.
defenddefenders.org

Tanzania: the international community should act to prevent further violations - DefendDefenders
Following the Tanzanian authorities’ brutal response to widespread protests that took place in the aftermath of the 29 October 2025 presidential and legislative elections, civil society urges the international community to take action to prevent further abuses. In a letter released today, 30...