Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ila hii nchi hii.

Siasa imetawala mpaka maeneo muhimu, siasa na uzandiki mpaka kwenye maisha ya watu.

Kiukweli kabisa hao wamasai hawawezi kupambana na dola, hilo eneo si lao tena, wataumizwa , watauawa na baadhi yao hayo maeneo mapya wala hawatayapata(kama yapo kweli).

Wapambane tu huenda shetani akawa malaika.
 
IMG-20220610-WA0613.jpg
 
Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.

Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.

Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
Hata kama ni wao kwa wao we unataka watu wakae kimya?? Hebu kaa kimya kuficha ujinga wako.
 
Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
Nyoko zako ww fala! Alikwambia utamkumbukaa shwain..na sasa imeanza kwa wamasai yenu kule upareni inakuja subir tu?! C ulishangalia kifo cha JPM..bora ufe kuliko kuteseka ndani ya nchi yako..sasa inaanza kula taratibu..yalianza mafuta...ikaja nauli...subir yanakuja mengine!
Women are always weak...weak..weak indeed! 10 years will be counted as 100years! The worst is yet to come!
 
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.
Bado mtalikumbukaa tu..shwain nyie..jiwe alikuwa anachabanga hayaa mafidai..hakuwa na neno na wananchi wakawaida wanaojitafutia ridhiki zao kwa haki...sasa ww chakubanga ulikuwa unapiga kelele fisadi na papet wa mabeberu kuchabangwaa...imekula kwako..shwain
 
Kuna siku ambayo wananchi tutaamua kufanya yetu na hiyo ndio siku ambayo kila aliyewahi fanya maasi dhidi ya wananchi atakatwa kichwa la sivyo akimbie hii nchi. Mmetushika vichwa tumewaacha naona wanataka kutushika na nyeti.
Mmeshindwa kufanya kipindi haki zinakandamizwa hadharani utafanya sasa hv Uhuru upo mpk unapitiliza mnaanza hadi kutukana wakati enzi zile mlikuwa mnapiga makofi tu
 
Ni suala la muda tu. Hata Abbas Kandoro alitaka kutuchezea sharubu lakini huko aliko anatukumbuka vyema. Uzuri ni Ngorongoro si Mbeya au Tunduma.
 
Nchi imejaa upumbavu Sana hii,

Yaani wananchi wanapitia yote haya kisa watu Fulani wapate asilimia ya mgao kwa kuuza rasilimali za nchi.
Hao ndiyo CCM baba! Kila kitu wanauza! Kisa wapate tu 10%, au wajimilikishe wenyewe.
Gesi wameuza! Madini wameuza, wanyama pori wetu wanauza! Na sasa wamehamia kwenye hifandhi!
 
Bado mtalikumbukaa tu..shwain nyie..jiwe alikuwa anachabanga hayaa mafidai..hakuwa na neno na wananchi wakawaida wanaojitafutia ridhiki zao kwa haki...sasa ww chakubanga ulikuwa unapiga kelele fisadi na papet wa mabeberu kuchabangwaa...imekula kwako..shwain
Kwa hiyo huu uovu wa Samia chini ya mwamvuli wa CCM ndio unaweza kuhalalisha ule uovu wa Magufuli chini ya mwamvuli ule ule wa CCM?

Magufuli alikuwa ni kiongozi wa ovyo na katili kupitiliza, Samia ni kiongozi wa ovyo ovyo na ukatili wake ni muendelezo wa kuiga ukatili ule ule wa Magufuli japokuwa kwa kuuma na kupuliza. Wote wametumia mwamvuli mmoja wa CCM kuwakandamiza watu wasiokuwa na hatia.

Ukweli ni kuwa, wamasai wa Ngorongoro hawajaridhia kuondoka katika ardhi yao, na serikali inatumia uongo kuwaaminisha watanzania kuwa hali ni shwari huku nguvu kubwa inatumika kuwaondoa kinguvu na kwa ukatili mkubwa hao wamasai.
 
Kilicho baki hapa kila mtu ajitetee kivyake, takataka ya ccm ikikutokea mbele yako pambana nayo mwenyewe. Umoja umefeli, sasa ndio nimeanza kuwaelewa wajukuu wa mwamedi kwanini wanafundishwa na sarakasi msikitini.
Eti sarakasi!
Daah ila hii nchi ni ngumu sana,wahuni wachache ndio wanafaidi.
 
Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
Acha kulia kizembezembe mkuu. Tiini mamlaka
 
Back
Top Bottom