Unkumbuka Ken Sarowiwa wa Niger Delta ?!Mnakumbuka miaka ya tisini ile Loliondo Gate!
Wewe mwanaharamu unanufaika vipi na kutetea hawa MAJAMBAZI WA CCM? Ng'ombe wewe.Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.
Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.
Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
Huyu PM wa hovyo, takataka kabisa. Uongo unamsaidia nini?
Maskini STAN KATABALO !!Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!
Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..
Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..
Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...
Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.
Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!
Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!
Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!
Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!
Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu..Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
![]()
Katika viongozi wa ccm wasio na aibu ni huyo jamaa .Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.
Unaweza kiaina kumwita Abdul sio Kareem no, ni RahimMkuu hilo jina lako linaishia hapo hapo abdulrahman au linaendelea kwa mbele?
GENOCIDE ni GENOCIDE.
Ni sime kabisa risasi gani hii hiyo aiseeUmewahi kutumia Bunduki?? Jeraha hilo ni la risasi au sime??




huyu jamaa ni mtu wa hovyo. Haijui dhamana aliyoibeba. NI MUOGA SANA.Katika viongozi wa ccm wasio na aibu ni huyo jamaa .
Kwahiyo amejipiga mwenyewe sime? Kwani bunduki hazina sime?Ni sime kabisa risasi gani hii hiyo aisee![]()
Kwa wananchi hawa wenye uoga uliojaa ,ubinafsi na unafiki mkubwa? Aaa wapi si leo .Kuna siku ambayo wananchi tutaamua kufanya yetu na hiyo ndio siku ambayo kila aliyewahi fanya maasi dhidi ya wananchi atakatwa kichwa la sivyo akimbie hii nchi. Mmetushika vichwa tumewaacha naona wanataka kutushika na nyeti.
Mbona Kam tundu la mshale?
Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....ccm!"TANZANIA INALINDA MAENEO YA KITALII YANAYOZIDI KUELEMEWA NA IDADI KUBWA YA WANANCHI NA KUKALIWA HIVYO KUTISHIA EXISTENCE YA HIFADHI ZETU"
Wakati mwingine kutumia nguvu kidogo ni muhimu serekali imewapenda mpaka inawajengea nyumba na handeni inamandhari nzuri sana hasa kwa mifugo yao serikali imeapenda sana lakini wamekuwa wakaidi huku chadomo wakijipatia #kiki katika suala hili.
#MASAI_MUST_MOVEOUT_PEACEFUL
#Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....