Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,745
2,000
Hahaha, toka uanze kuwafukuzia kina lara1 tena hadharani, na mie nimelanduka. Afu kuna kibabu kinataka kuja kujitambulisha home kimpindue Paw. . . .am just saying
sasa maswali gani hayo unauliza, unajua siku hizi hishma yako imekuwa inapungua kila siku..........
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,745
2,000
Nahofia dingi kupata msongo wa mawazo ujue. Akidata majukumu yake itabidi niyabebe, mie mdogo hivi ntaweza wapi!
umeona eeeenh ,,,,,,,,,,,,,,hadi huruma yani! asije akawa anaikandamiza ngono bure babu yetu huyuuu
 

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,567
1,250
ama kweli watu wanapenda ngono
Katika thread ya Mtambuzi ya kukandamiza ngono kama nakumbuka vizuri alisema asilimia kubwa ya mambo tunayofanya na kuwaza yako related na ngono.

Kwahiyo huu ni muendelezo tu, ndio maana hata hapa JF ikitundikwa thread inayoendana na mambo ya ngono watu wanajazana kusimulia mauzoefu yao katika hiyo sekta.
 
Last edited by a moderator:

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,971
2,000
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu:

NGONO = 1. zamu ya mume kulala na mkewe
2. Kitendo cha mke na mume kuingiliana
Number (1) inakinzana na paragraph ya kwanza ya post yako... neno "zamu"... Number (2) neno "kuingiliana" linakinzana na paragraph ya kwanza ya post yako pia... <quote>Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya</quote>
 

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,377
1,250
Mkuu Mtambuzi hii kitu ina faida na hasara zake!
Faida: ni kuwa utafurahia hii ngono yako ya ghafla kwa mtu ambae hamkupanga kufanya hiyo kitu, Ikiwa tu mtu huyo atakuwa msafi na atakuvutia na kukufurahisha nafsi yako mwanzo mpaka mwisho wa zoezi lenu. Iwe mwanamke au mwanaume.

Hasara: Utajutia nafsi yako ikiwa mtu unaefanya nae ngono mchana kutwa mijasho imemtoka mpaka kende zimenyea,kama mwanamke k imelowana mpaka imechacha ajaitia maji toka alfajili mchana kutwa anajisaidia bila kujisafisha, mivuzi imeota mpaka imekua kero kwa mwenyenayo.

Upande wangu mkuu kama mtu always anakuwa safi, sio usafi wa nje yaani ikitokea ghafla lakini yuko poa haina shida,
Tatizo mtu mwingine bila kumuandaa, akanyoa mwenyewe vizuri, akatafuta nguo zake za ndani zenye mvuto n.k n.k
Maana mwingine kajivalia chupi lake limetoboka anajua atamuona nani!? na ukiona inapunguza hali flani flani katika mapenzi hapo bahadae.
wakaka na wadada! tuwe tayari maana hatujui siku wala saa, ji chatu litakapotaka kujificha pangoni!!
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Number (1) inakinzana na paragraph ya kwanza ya post yako... neno "zamu"... Number (2) neno "kuingiliana" linakinzana na paragraph ya kwanza ya post yako pia... <quote>Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya</quote>
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia mke na mume ni lazima wapange ratiba ya kufanya ngono, kwa maana mume atume taarifa kwa mkewe au mke atume taarifa kwa mumewe kwamba siku na saa fulani anataka wafanye ngono? au wawe wanaishi kwa ule mtindo wa mume kumwamboa mke "geuka huku"?

Mkuu hata wanandoa wanaweza kufanya ngono ya kushtukiza kulingana na mazingira waliyokuwamo..........

kwani hujasikia wanawake wakisema kuwa ngono ya jikoni ni tamu? hiyo ina maana gani...?
Ina maana kwamba inawezekana mume karudi na kumkuta mkewe yuko jikoni na yuko sex kutokana na mavazi aliyovaa na akapata hamu ya kumuingilia mkewe na wakamalizia hapo hapo jikoni......
 

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,171
2,000

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.


Natofautiana na Mtambuzi moja kwa moja ngono za namna hii huwa wahusika wakimaliza hujutia sana hilo tendo kwasababu hujiona wamekosea sana kufanya ngono bila mipangilio, na mara nyingi sana ngono za hivi hupelekea kupata magonjwa kama ukimwi na mimba zisikuwa na mpango kwani wahusika hawakupanga kufanya ngono hivyo hufanya bila kutumia kinga kwasababu hujikuta tu wamefanya ngono.
 
Last edited by a moderator:

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Ha ha haa!
40 bado?
Sisi tuliokulia vijijini kwa umri huo ndio damu inachemka.
Huo ndio umri wa kuongeza vijumba vidogo kadhaa kwa ajili ya kuboresha afya.
kwani hujui kuwa ngono ni afya ukifanya kwa kiasi..................?
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,500
2,000


Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.


Ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

Hiyo ndo ngono ZEMBE hiyo
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Natofautiana na Mtambuzi moja kwa moja ngono za namna hii huwa wahusika wakimaliza hujutia sana hilo tendo kwasababu hujiona wamekosea sana kufanya ngono bila mipangilio, na mara nyingi sana ngono za hivi hupelekea kupata magonjwa kama ukimwi na mimba zisikuwa na mpango kwani wahusika hawakupanga kufanya ngono hivyo hufanya bila kutumia kinga kwasababu hujikuta tu wamefanya ngono.
Hivi kumbe mtu akifanya ngono na mkewe au mumewe kwa kustukiza anajuta kwa kitendo hicho halafua anaweza kupata maradhi ya zinaa....!

Hilo mie sikulifahamu kabisa, hebu ngoja nimuulize mama Ngina kwanza
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
lara
1
, hujaelewa mada yangu.

Nimezungumzia ngono lakini sikusema watu wafanye ngono hovyo, kwani hata
mke na mume hawawezi kufanya ngono ya kushtukiza? wanawezaa kutoka kwa
matembezi ya jioni ufukweni halafu wakajikuta wamefika mahali wako peke
yao na wakashikwa na hamu ya ghafla na kumalizana hapo hapo.....
Mbona hiyo huwatokea wanandoa wengi, sema tu ni nadra sana kwa sababu
wakati mwingine mambo ya kifamilia na muda vinagomba.

Wewe unasoma maoni ya kina Neylu,
Ennie, Ciello na
nivea kisha unanihukumu...!

naomba upambane na hao wanaoshabikia ngono na usinihusishe mimi
kabisaa..................................LOL
Mtambuzi nakuheshimu ujue!!!! Yaani mimi nashabikia ngono? Ngoja niwaite uliowa mention tuandamane.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom