Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

@lWEWE Mwanaume unayejidanganya na hayo ma
Movie ya X unayoangalia huko kisha unakuja kufanyia
mazoezi kwa mtoto wa watu...acha huo ujinga..MARA
umnyanyue mguu juu, mara umchanishe msamba
huko, unambinua kama mcheza KUNGFU..mara
umuinamishe kama mbwa... SIKIA wale wasichana ulioona kwenye hizo filamu
wapo kazini aisee na wamefanya mazoezi kabla ndo
maana unawaona wanajitanua bila wasiwasi....
WEWE unaenda kwa msichana ambaye hana hata
mazoezi unamtanua halafu unajifanya we unajuaaaa
mapenzi, UJINGA mkubwa.... haiwezekani umfanye msichana kama MDOLI aisee.
ANAWEZA asikwambie kuwa anaumia lakini amini
kuwa hapati raha yoyote unamtesa tu bure..
NA NYIE wasichana mambo ya kujiliza liza hovyo
kama yale masichana ya kwenye filamu za X muache hiyo tabia mara moja,
yaani ukiguswa kidogo tu'aaaaaah oooosh!!"shenzi kabisa hisia gani hizo mtu umevaa wigi halafu unaguswa nywele unasisimuka,
unaguswa kucha za kubandika unapiga makelele.... Pambavu kabisa.
 
tumblr_le6q356peF1qf1dmao1_500_large.jpg

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

Ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

Hapa umenigusa ndiko,ni ukweli mtupu kwanza unapata ladha ya ajabu tofauti na za kawaida,umeshajipanga umeshajifusha unaisubiria lakini hii umetoka kazini umepika mme kula wala wazo la hiyo kitu hakuna mnaangalia tv mara vimelipuka wapi imeanzia hujui unapata speed ya ajabu na una relax sana baada ya Bao......
 
tumblr_le6q356peF1qf1dmao1_500_large.jpg

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

Ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

Uzuri wake ni keamba huhusisha kungonoka kavukavu, ngono-zembe.....
 
Back
Top Bottom