Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

Ngono ya aina hii ni nzuri sana, inaleta furaha, inaleta burudani ya pekee, nguvu chanya (mwanamme) na nguvu hasi (mwanamke) zinakutana bila uwepo wa akili. Jambo hili hutokea kwa nadra sana. Inawezekana jambo hili halijawahi kukutokea, na kama limeshawahi kukutokea utakubaliana na hayo niliyoyasema, utakuwa shahidi wa hayo niliyoyasema.

Lakini ngono zinazofanyika siku hizi ni zile za ahadi, ni zile za kupanga zifanyike kesho,wiki ijayo au mwezi ujao. Ngono hizi hufanyika bila hisia yoyote ya upendo, hufanyika kwa kuiwaza akilini kwanza, unaweza kufanya ngono na mwanamke bila kuwa hisia yoyote ya upendo, pia unaweza kufanya ngono na mwanamme bila kuwa na hisia yoyote ya upendo.

Huku ni kumtumia mwingine kama chombo cha starehe, huu ni ukahaba. Hali hii pia ipo sana kwenye ndoa. Unakuta mme na mke wanafanya ngono huku wakiwa hawana hisia yoyote ya upendo. Hii haina tofauti na kufanya mapenzi na kahaba, ingawa tofauti yake ni moja tu, nayo ni kwamba kahaba ni mbunifu zaidi, yupo hai zaidi kingono, hajakandamiza. Ngono ya aina hii siyo ngono, haiwezi kuwa nzuri, haiwezi kukupa furaha wala burudani.

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,556
2,000
mhm hiyo ya spontaneous ni kwa magoma wa ulaya...sio wa bongo...wa bongo unamwambiaa keaho gueat flani mida flani watu mnaenda gegedana...
so mtambuzi unamaana kwamba wengi wa wanawake wakibongo ni makahaba? if so kwa nini wanaume wanawaoa?
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,809
2,000
Mtambuzi Naunga mkono hoja ktk thread yako!

Tena hili tendo naonaga haitakuwa na kusema baada ya tendo zaidi ASANTE my DEAR na heshima inaendelea kama kawa vile!
Mkuu hiyo makitu bana we acha tu, nakumbuka kule kijijini tulikuwa tunaviziaga vibinti mtoni au mashambani, hata huna ahadi naye ukikutana na yeyote kakukalia sawa, unasongesha hata ung'atwe na siafu husikii, maumivu utyasikia baadae sana.............LOL
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Mkuu hiyo makitu bana we acha tu, nakumbuka kule kijijini tulikuwa tunaviziaga vibinti mtoni au mashambani, hata huna ahadi naye ukikutana na yeyote kakukalia sawa, unasongesha hata ung'atwe na siafu husikii, maumivu utyasikia baadae sana.............LOL
kama nimeelewa vizuri mada, huu mfano wako hatuwezi kuuingiza hapo. tayari wewe ulikuwa unawaza akilini mwako kuwa unaenda kutafuta kimwana huko maporini, haijalishi ni nani, lakini ulijua utapata.
hapa tuzungumzie ambapo wote wawili hamna hata akili ya kusema leo inawezekana hiki kikafanyika, mnajikuta tu mmefanya.... hii nadhani inatokea pia hata kwa wapenzi...... unakuta mmepanga twende sehemu kutembea, kutembea tu na hakuna anayewazia chochote kikatokea.....hata zana hamna, lakini ikatokea...............
 
Michael Amon

Verified Member
Dec 22, 2008
8,767

Zana zipi tena hizo dada angu...jembe au shoka?
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,202
1,250
mkuu Mtambuzi, naunga hoja mguu kabisa, nilishapata moja 'unprepared' it is still remarkable. . .I just love that feeling pale mwishoni unaanza kutafuta ulichokua unafanya,so funny and enjoyable. Wenzetu wanaziita 'quickie'
 
Last edited by a moderator:

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,357
0
Kweli mzee mtambuzi, izo ni za ukweli mie Babu yani ilikua tukienda polini hatuna ili wala lile Mara tunaanza kukimbizana ukimshika tu kitu... ni raha aiseee
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,739
2,000
Mshua siku hizi anawaza ngono tu. Hivi aunt wa kimanzichana anakuja lini kumnyoa mtoto nywele ili uzindue bendi upya?
 
Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
1,195

Ngono nzuri ni ile ambayo unajikuta umefanya ngono na mwanamme au mwanamke bila kuwa na wazo lolote kuhusu ngono, bila kuwa na hisia yoyote kuhusu ngono, wote wawili hamkuwaza kuhusu ngono, hamkupanga, hamkuwa na ahadi yoyote ya kufanya ngono, mnajikuta tu mmefanya.

Mkuu Mtambuzi hii kitu ina faida na hasara zake!
Faida: ni kuwa utafurahia hii ngono yako ya ghafla kwa mtu ambae hamkupanga kufanya hiyo kitu, Ikiwa tu mtu huyo atakuwa msafi na atakuvutia na kukufurahisha nafsi yako mwanzo mpaka mwisho wa zoezi lenu. Iwe mwanamke au mwanaume.

Hasara: Utajutia nafsi yako ikiwa mtu unaefanya nae ngono mchana kutwa mijasho imemtoka mpaka kende zimenyea,kama mwanamke k imelowana mpaka imechacha ajaitia maji toka alfajili mchana kutwa anajisaidia bila kujisafisha, mivuzi imeota mpaka imekua kero kwa mwenyenayo.

Upande wangu mkuu kama mtu always anakuwa safi, sio usafi wa nje yaani ikitokea ghafla lakini yuko poa haina shida,
Tatizo mtu mwingine bila kumuandaa, akanyoa mwenyewe vizuri, akatafuta nguo zake za ndani zenye mvuto n.k n.k
Maana mwingine kajivalia chupi lake limetoboka anajua atamuona nani!? na ukiona inapunguza hali flani flani katika mapenzi hapo bahadae.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
38,475
2,000
Kama nilivyokushtukiza juzi kwenye gari eeh, nakupenda tu umsema ukweli ila uliniudhi uliponiambia Boxer yangu ilikua haipata maji @mtambuzi kama hii mada ni halali basi ina-negate ile inayodai kuwa kabla ya kucheza mpira
asikwambie mtu hivi vya unplanned ni vitamu balaa..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom