jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
my self sipendi kama najua leo naenda kuhave sex...najiskia vibaya sana ila ndo ivyo sasa
Maneno haya!
lakini siku hizi ukitaka kwanza mpaka ufanye vi date visivyopungua vitatu, tena kwa gharama yako, na siku ukiahidiwa kupewa, unaweza kuchomeshwa mahindi mara kadhaa, ukiambulia hola, na siku ukipewa gharama za entertainment kabla ya kuingia kwenye mechi inaweza kwenda 50, na ukija kwenye kulipia guest inaweza kukutoka 30, na mkitoka hapo inabidi umchukulie taxi, hawezi mkupanda daladala tena... kuja aje na daladala lakini baada ya mechi kwa raha zake ndani ya taxi... kwa mishindo miwili au mitatu unajikuta umetumia 100,000 au zaidi achilia mbali gharama za mitoko...............
Vijana wa siku hizi mna kazi mie huko nishapita, ujana wangu niliumalizia maporini na vibinti na baada ya hapo nimewowa, nawasanifu tu mnavyohangaika siku hizi..............LOL
Yaani sijui tukimbilie wapi, sasa hapo na gharama zote hizo halafu mtoto anakuja na setting ya namna hiyo hapo, we unadhani hiyo utaita mapenzi?
Naomba nitoe siri ya moyo watoto wa Arusha nawakubali sana Bro, hawana mbwembwe nyingi asee....
Unakutana na mtoto sehemu, unaomba namba ya simu anakupa habani mawasiliano hana uoga na mwanaume kama hakutaki anakwambia tu kiroho saaaafi....
So ndio maana nkasema kuna baadhi ya maeneo hivyo vitu vipo sana mpaka sasa, sio lazima iwe porini kama enzi zenu, hivi vitu vinatakiwa viwepo akilini kuwa ngono sio uovu kama tunaoamishwa kwenye propaganda za kidini na wanaharakati uchwara!