Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

Ngono nzuri na tamu ni ipi..?

mwambie bana, kuna ile kitu inaitwa niangusage, yaani uko umeenda kutafuta kuni na kama bahati unakutana na mrembo na yeye yuko kwenye mishe mishe hizo hizo, wala hupigi saundi ni mwendo wa niangusage uchukue sambi sako mwenyewe........................

Hahahahaha ila hii kitu bado ipo baadhi ya sehemu, basi tu hawa mabinti wa hapa mjini tu ndio wamekuwa na mashida mengi utafikiri na wao hawapati raha......
 
Kwa hiyo mkuu unataka kuniambia mke na mume ni lazima wapange ratiba ya kufanya ngono, kwa maana mume atume taarifa kwa mkewe au mke atume taarifa kwa mumewe kwamba siku na saa fulani anataka wafanye ngono? au wawe wanaishi kwa ule mtindo wa mume kumwamboa mke "geuka huku"?

Mkuu hata wanandoa wanaweza kufanya ngono ya kushtukiza kulingana na mazingira waliyokuwamo..........

kwani hujasikia wanawake wakisema kuwa ngono ya jikoni ni tamu? hiyo ina maana gani...?
Ina maana kwamba inawezekana mume karudi na kumkuta mkewe yuko jikoni na yuko sex kutokana na mavazi aliyovaa na akapata hamu ya kumuingilia mkewe na wakamalizia hapo hapo jikoni......
Mtambuzi, kimantiki haiwezekani mme/ke kufanya "ngono" bila upande angalau mmoja kuwa na "maandalizi" ya kabla, iwe ya jikoni, bafuni, kwenye gari, e.t.c. Kwa maana hata kitendo cha "kubaka", "mbakaji" huwa amekusudia kufanya hivyo...!
 
Kama nilivyokushtukiza juzi kwenye gari eeh, nakupenda tu umsema ukweli ila uliniudhi uliponiambia Boxer yangu ilikua haipata maji @mtambuzi kama hii mada ni halali basi ina-negate ile inayodai kuwa kabla ya kucheza mpira

Uliona ilivyokuwa tamu yaani mwili full kuweweseka kwa raha... halafu unajikuta unapiga bao fasta halafu safari inaendelea.. oh i like this..
hahaa ile boxer ileeee..kwi kwi kwi
 
Sisi tuliokulia vijijini kwa umri huo ndio damu inachemka.
Huo ndio umri wa kuongeza vijumba vidogo kadhaa kwa ajili ya kuboresha afya.
kwani hujui kuwa ngono ni afya ukifanya kwa kiasi..................?

Nyie wa vijijini mnajua kuvuka bara bara kwa taadhari?
Nakushauri uangalie kulia na kushoto kabla hujavuka, taadhari ni muhim usije vamia mji kwa pupa ukapatwa na makuu!

Na kama damu inachemka kwa kasi mh,
Dsalaama wa rembo wengi !
 
Mkuu hiyo makitu bana we acha tu, nakumbuka kule kijijini tulikuwa tunaviziaga vibinti mtoni au mashambani, hata huna ahadi naye ukikutana na yeyote kakukalia sawa, unasongesha hata ung'atwe na siafu husikii, maumivu utyasikia baadae sana.............LOL

Kwi kwiIiiiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
whuuuu, ya very ryt bro....un planned sex huwa tamu saanaaa, sema ndo ivyo iwe kwa mtu mnae aminiana sana kama ni boyfriend awe ni wa mda mrefu mnajuana na mlisha pima....ndo mtaenjoy...my self sipendi kama najua leo naenda kuhave sex...najiskia vibaya sana ila ndo ivyo sasa
 
Hahahahaha ila hii kitu bado ipo baadhi ya sehemu, basi tu hawa mabinti wa hapa mjini tu ndio wamekuwa na mashida mengi utafikiri na wao hawapati raha......

Nilivyokwenda kijijini kwetu, nilikuta ule msitu wetu wa PANDE wa kutafutia kuni pamoja na vijjmambo umetoweka kutokana na kijiji kupanuka, nilisikitika sana...........

bado nakumbuka sana enzi hizo mkuu, ilikuwa pouwa sana.... hakuna kuhonga, hakuna kondom, hakuna kulipia gesti wala nini....

lakini siku hizi ukitaka kwanza mpaka ufanye vi date visivyopungua vitatu, tena kwa gharama yako, na siku ukiahidiwa kupewa, unaweza kuchomeshwa mahindi mara kadhaa, ukiambulia hola, na siku ukipewa gharama za entertainment kabla ya kuingia kwenye mechi inaweza kwenda 50, na ukija kwenye kulipia guest inaweza kukutoka 30, na mkitoka hapo inabidi umchukulie taxi, hawezi mkupanda daladala tena... kuja aje na daladala lakini baada ya mechi kwa raha zake ndani ya taxi... kwa mishindo miwili au mitatu unajikuta umetumia 100,000 au zaidi achilia mbali gharama za mitoko...............

Vijana wa siku hizi mna kazi mie huko nishapita, ujana wangu niliumalizia maporini na vibinti na baada ya hapo nimewowa, nawasanifu tu mnavyohangaika siku hizi..............LOL
 
Mzee Mtambuzi hizi mada uwe unazileta jioni bana.. Saa hizi unatunyegesha watoto wa wenzio bureeee!! angrrrrrrrrrrr

Sent from my BlackBerry 9300 anusing JamiiForums
 
Hivi kumbe mtu akifanya ngono na mkewe au mumewe kwa kustukiza anajuta kwa kitendo hicho halafua anaweza kupata maradhi ya zinaa....!

Hilo mie sikulifahamu kabisa, hebu ngoja nimuulize mama Ngina kwanza
Ahaaa kumbe ulimaanisha kwa watu walio kwenye ndoa?????? hapo nimekupata nilichanganya kwa sisi ambao huwa tunapiga hata barabarani ni hatari sana kufanya ngono bila kujipanga
 
Mzee Mtambuzi hizi mada uwe unazileta jioni bana.. Saa hizi unatunyegesha watoto wa wenzio bureeee!! angrrrrrrrrrrr

Sent from my BlackBerry 9300 anusing JamiiForums

Hii mada nimeiweka saa sita usiku jana, wewe ulikuwa wapi mkuu..........?

Unalala sana siku hizi kijana eh........!!!
 
Uliona ilivyokuwa tamu yaani mwili full kuweweseka kwa raha... halafu unajikuta unapiga bao fasta halafu safari inaendelea.. oh i like this..
hahaa ile boxer ileeee..kwi kwi kwi
Natamani leo tena tukute foleni tupate cha fasta tuendelee na safari ila ile foleni ya juzi ndio iliharibu bhana hasa lile li-daladala wakapiga honi weeee mmmh acha tu Mtambuzi kweli cha kushtukiza kina raha yake hasa cha wizi, Little Angel kapiga simu usiku mzima za kunisifia tu, mmmh na hapo alikua hajakoga bado. Ila Dear punguza mchicha basi unajua ile kwamba ule mchuzi (jasho)wote uliishia shavuni kwangu nilikuja kushtuka baada ya kumaliza
 
Mtambuzi, hii thread yako inaelezea "one nightstand" au inaongelea ubakaji? maana nimejaribu kusoma baadhi ya posts zako nimeshindwa kuelewa, kuna sehemu nyingine waelezea kupiga watoto wa kike mitama(haina utofauti na kubaka)...
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi, kimantiki haiwezekani mme/ke kufanya "ngono" bila upande angalau mmoja kuwa na "maandalizi" ya kabla, iwe ya jikoni, bafuni, kwenye gari, e.t.c. Kwa maana hata kitendo cha "kubaka", "mbakaji" huwa amekusudia kufanya hivyo...!

428326_259075184178483_2071108878_n.jpg


LOL................................
 
Mtambuzi, hii thread yako inaelezea "one nightstand" au inaongelea ubakaji? maana nimejaribu kusoma baadhi ya posts zako nimeshindwa kuelewa, kuna sehemu nyingine waelezea kupiga watoto wa kike mitama(haina utofauti na kubaka)...

Vyote vinahusika.
Kuna wanawake wengine hawapati nyegge mpaka wapigwe ngwara na mitama.
Hapo ndipo huwa tayari kupanua mapaja.
Ila ngono nzuri ni ile "cha chapchap"
bafuni na mpangaji mwenzako,au ofsini na mfanyakazi mwenzako,au club chooni.
Hyo ndo ngono nzuri,hakuna kujiandaa,chapchap kitamu,asikwambie mtu.
 
Last edited by a moderator:
We bi dada kumbe una uzoefu wa kutosha kiasi hiki?
Sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini tunajua sana utamu wa ngono za kushtukiza. Mko ngomani huko, bila kupanga wala kujua utakutana na nani unakuta na mwanamke unapiga saundi akikuelewa unaweka vyombo chap chap, inanoga ile mbaya.
huyomwenzenu anatafuta pichu zenye mvuto we tumbukiza tu papapapapa shida ikutoke unaondoka zako kama alikuwa kjicha poa tu mradi shida imekuisha eeeeee wewe may kaka Mwita Maranya una uzoefu tele
 
Last edited by a moderator:
huyomwenzenu anatafuta pichu zenye mvuto we tumbukiza tu papapapapa shida ikutoke unaondoka zako kama alikuwa kjicha poa tu mradi shida imekuisha eeeeee wewe may kaka Mwita Maranya una uzoefu tele
nivea, kuna watu humu wanafiki sana, wakiona uzi wa ina hii wanajifanya wasafi kumbe wanajua wenyewe kwamba ni wachafu mbaya............
Heri yangu mie mkweli maana sioni sababu ya kuficha maudhaifu yangu, hata mwanangu King'asti keshanizowea.....LOL
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa!!!!!!!!! NAOMBA KUSHTAKI TACAIDS KUWA KUNA MTU ANATETEA NGONO ZEMBE HADHARANI WKT SERIKALI INAMALIZA PESA KUZIPIGA VITA!!!!!!!!!!!!

Na naprint huu waraka naupeleka KANISANI kwenu ili wakujue ni hatari kwa vijana!

Ngono nzuri ni YA NDANI NDOA!!!!!!!! Kwasababu zifuatazo

1. Inabaraka zote za Mola

2. Hufanyi kwa mashaka mashaka ya STDS,NGOMA,KUNATANA au UKOSEFU WA LADHA(waweza ingia mahala ukajutaaaa!)

3.Unakula kutwa mara 3 au utakavojisikia.

4.Ina faida ya kuongeza binadamu duniani.

5.Jamii yote inajua unakula na imebariki hilo.

Umeanza mambo yako,wewe siku ile mpaka unaachiwa bili kulipa ulikuwa umepanga au kwa nini uliamua kumuwekea makengeza Mumeo???!!!
 
lara 1, hujaelewa mada yangu.

Nimezungumzia ngono lakini sikusema watu wafanye ngono hovyo, kwani hata mke na mume hawawezi kufanya ngono ya kushtukiza? wanawezaa kutoka kwa matembezi ya jioni ufukweni halafu wakajikuta wamefika mahali wako peke yao na wakashikwa na hamu ya ghafla na kumalizana hapo hapo.....
Mbona hiyo huwatokea wanandoa wengi, sema tu ni nadra sana kwa sababu wakati mwingine mambo ya kifamilia na muda vinagomba.

Wewe unasoma maoni ya kina Neylu, Ennie, Ciello na nivea kisha unanihukumu...!

naomba upambane na hao wanaoshabikia ngono na usinihusishe mimi kabisaa..................................LOL
Mtambuzi bana kusema kweli mie inanikutaga hii asubuhi saa ile unaoga unakwenda kazini unashtukia huyu jamaa katokea wapi tena lakini unaisikilizia nakutoa ushirikiano hahahaha mtambuzi siku inakwenda poa sana hizi zakupania huwa nazipiga chenga
HAYA Mwita Maranya soma hapa
 
Last edited by a moderator:
Kwa maana hiyo basi tuseme, Ngono ZEMBE ndio tamu?
 
Back
Top Bottom