Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
mzee makalo?? Mbona nahisi hili jina makalo s geniHahahaaa ngoja na mimi nisome google map kama ntaweza kupaona Mwambani kwa kina Omar Yanga na Mzee Makallo
mzee makalo?? Mbona nahisi hili jina makalo s geniHahahaaa ngoja na mimi nisome google map kama ntaweza kupaona Mwambani kwa kina Omar Yanga na Mzee Makallo
bwana shemeji umeniwahi kuuliza hili swaliUnajua wewe ni ngumi mkononi sister
Yaani hapo unataka kulianzisha. Haya basi mimi nimemsamehe, usianze kuzikusanya hasira sasa😀😀😀
hahahahahahaha mda mwengine me nafanya kusudi tu mda mwengine yeyeSiku mojamoja akiwa anakupatia vimakofi viwili vitatu vyepesi nitakua nampa sheria yeye wakati ukileta kesi, sio kwa kumuonea huko aisee😀😀😀
mhhHahahahhaha anatakiwa asimamie ahad zake s unajua kaka??? Ukisema utakuja uje kweli sio wasema waja halaf jkazama mazima na tarifa usitoe sio vizur kaka angu ngoja aje hapa
Nilihadithiwa na rafiki yangu, habari za tanga. Pia kuna babu ananitumiaga dawa za mvuto kutoka tanga, yani mrembo akiniona tu ananiambia "I love you " bila kumtongoza
umejileta kwa nn hukutoa feedback?? Unajua unaonekana msanii
Huku ni kudanganyana na imani potofu. Nilipokuwa mdogo zilikuwa zinapigwa ngoma hizi na walikuwa wanatengeneza hicho chano na kupeleka porini kwenye njia ya panda ili hao mashetani waje wale.Hiyo inaitwa chano. Inakua na vitu vitamu kama miwa, asali, ndizi kusukari, halua, mkate wa kumimina na vitu kama juice ambavyo huwekwa kwenye sinia
Wanasema hicho ni chakula cha hao mashetani ambao huja kupitia miili ya binadamu na kuja kula hivo vitu. Katika baadhi ya makabila na koo jambo hili linafanyika kila mwaka na wanapiga na hizo ngoma za kuwaalika hao viumbe
Inasemekana kua hiyo ni aina ya matambiko kama matambiko mengine yanayofanywa kwa aina tofauti kwenye makabila mengi hapa nchini au Afrika kwa ujumla
Kuna wakati Tanga zinapopigwa hizi ngoma huwa wanatembea barabarani mchana kweupe, wanaume wakiwa vifua wazi na wanawake manyonyo nje!
Wanaoshiriki mambo haya wanadai inawafanya wakae vizuri katika maisha yao kwa mwaka mzima. Yaani ni matambiko ya kuondoa mikosi ya kuumwa, kuharibikiwa na mambo ya kazi au biashara, kuvurugikiwa na mahusiano ya kifamilia kama vile ndoa n.k
Jambo la kushangaza kama nilivosema awali ni kwamba hata waliowasomi na wenye exposure kubwa kwenye hizo koo ikiwemo waliowahi kuishi Ulaya na Amerika wanaamini na kushiriki hayo mambo!
Mzee maarufu san huyu Tanga, nyumba yake ipo baharini kabisaa kule Mwambanimzee makalo?? Mbona nahisi hili jina makalo s geni
daah
Toka jana na hizi dawa zako naanza kukuogopa nisijekujibu i love you too wakat hujanitongoza




kuna mtu anaitwa mohammed makalo me ndio namfahamMzee maarufu san huyu Tanga, nyumba yake ipo baharini kabisaa kule Mwambani
abeedaah
usinichekee nijibu
sina nenoheb nambie lini unakua free
Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na halua😀😀😀Huku ni kudanganyana na imani potofu. Nilipokuwa mdogo zilikuwa zinapigwa ngoma hizi na walikuwa wanatengeneza hicho chano na kupeleka porini kwenye njia ya panda ili hao mashetani waje wale.
Mimi na wenzangu tulikuwa tunasubiri waondoke na kula vyakula vyote vitamu vilivyowekwa na hatujadhurika.
Siku hizi kwa ukali wa maisha ngoma hizi zimepungua sana almost hazipo.
aisee nimeona aibu wallah, huyu n jirani yangu bana tunakua tunapishana tusina neno
ndio nimekuja kumjibu kumwambia babeumejileta kwa nn hukutoa feedback?? Unajua unaonekana msanii
Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na halua😀😀😀
Yaani kisha hamkudhurika wala nini, badala yake mlijiongezea afya tu😀😀😀
saa hizi had ukupurushwe bebndio nimekuja kumjibu kumwambia babe