Ngoma za mashetani

Ngoma za mashetani

Mshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi zinanyweka etc. Ebu tufahamishe ngoma za mashetani ndiyo kitu gani? Umuhimu wake ni upi?
Nimemiss sana kuziona nadhani huku nilipo sizioni 7bu ya tamaduni ingawaje ni mkoa huu huu wa tanga, ila kwa sehemu za pangani kule au muheza somewhere kigombe zinapigwa sana hizi ngoma
 
Umezijuaje kama zinaitwa za Mashetani? Au umeshazipa jina tayari mkuu?
Kwa ufupi ngoma na vinanvyohusiana navyo ni matawi ya shetani. Sasa kuanzia hapo kama unataka kujua umuhimu wake itakuwa unahitaji licha ya UHASI wake (negativity).
Wanaziita hivyo, hapo ni full kupanda kwa mashetani kwa waliyonayo kwenye vichwa vyao
 
Zile ngoma za kishirikina kuna washiriki wake hutumika kuleta taarifa ambazo hazijulikani.Hali hiyo ndiyo ramli yenyewe na anayeandaa hiyo ngoma humwita fundi,ndiye mganga anayeshughulikia mambo yote mpaka utoaji wa makafara kama uchinjaji wa kuku,mbuzi,kondoo nk.Ni kawaida kumwona yeyote mwenye maruhani kushiriki bila hata yeye mwenyewe kujitambua ikiwa atakuwa jirani na eneo la ngoma.
kipindi bado ni mdogo jirani yetu aliileta hiyo ngoma, basi Kuna mwanamke ndie alikua anapigiwa akapandisha, akadai aletewe makaa ya moto, akawa anachuka yale makaa na kuyaweka mdomoni anatafuna na kumeza. kile kitendo mpaka leo hii sijakielewa. maana ngoma ilvyoisha nilikua namfuatilia ili nimuone jinsi mdomo ulivyoungua lakini alikua mzima na ana piga story kama kawaida.
 
Ni washirikina sana...afu ndo wanasema mapenzi ndo yalikozaliwa....mengine hawasemi
! ukioa wale...ujue mmeoa wengi na atakufinyanga usijielewe...uone utamu tu!
 
Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki

Miye sijambo pia namshukuru Mola
Hizo ni tamaduni zetu watanzania hayo mnayoyafuata ni desturi ni mila za hao wakiowaletea,machifu wetu wengi walikuwa na imani zao hawakuwa watumwa wa kuamini kama wewe na mm ndio maana hata majina yao si ya kimitumba km lako.we jina km mkwawa.kimweli mangi mariale wapo wengi tu.kiufupi huyo jirani yako yupo light km umuonavyo.chukua hio
 
Mshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi zinanyweka etc. Ebu tufahamishe ngoma za mashetani ndiyo kitu gani? Umuhimu wake ni upi?
Ngoma za makafara hizo...hapo matatizo shida fitina,majungu na fitina zote huwekwa wazi...ole wako mhusika ukatae
 
Uchawi wireless unaokaa machoni...unakuwa transifered kupitia vibration waves za mwanga machoni...ni lazima connection ya eye to eye contact ifanyike ..ni kama vile infrared au Bluetooth...in fact origin za hizi ni uchawi wa zongo
kumbe leo umenijuza jambo
 
Kwa taarifa yenu hilo ni chukizo mbele za Mungu. Kuabudu miungu na kumwaga damu kwa nia ya kutoa kafara inaleta laana katika nchi na kitakachofuata ni majanga yenye kumwaga damu za watu, magonjwa, laana na Mungu kuondoa baraka zake katika nchi. Kwa macho utaona sawa lakni katika ulimwengu wa kiroho ni mambo mazito. Wanaomfahamu Mungu wa kweli wanahitaji kuomba na kufunga Mungu aweze kutusamehe na kuondoa hasira yake otherwise chamoto tutakiona. Utaona majanga ambayo yanaweza kufagia mji mzima kama vile mafuriko au Tsunami.
 
Mshana Jr and Madame S toa neno maana Mshana unamiliki uwanja huu.... ( Ndugu yangu Kibao anafanya machukizo kwa Mungu!
 
Back
Top Bottom