Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
ndio je unahiji hivi vitu akili itulie kidogoaisee
ndio je unahiji hivi vitu akili itulie kidogoaisee
Tuko pamoja shemejiasante sana bwana shemeji....tufurahi sote
uzima upo lakini?
Na mpaka leo twadunda. Siku hizi naona wanaweka chano cha mkate wa majivu.Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na halua😀😀😀
Yaani kisha hamkudhurika wala nini, badala yake mlijiongezea afya tu😀😀😀
Mkuu kiukweli sijawahi kujuana lkini hyo ni mambo ya kiimani za mashetani.Vibuki kwa kiswahili sanifu ni nn mkuu
Ndio hapo sasa ujiulize kama zilikua zinasaidia kuongeza kipato kwa njia za kiimani mbona siku hizi wameacha sababu ya bajeti na vyuma kukaza? Si hayo mashetani yangekua yanaleta?Na mpaka leo twadunda. Siku hizi naona wanaweka chano cha mkate wa majivu.
Kwa zamani ilikuwa pia njia ya kuonyesha uwezo maana ngoma hizi ni ghali sana ndio maana zimepungua kwa kuwa uchumi umeyumba.
uwe na siku njema shemejiTuko pamoja shemeji
Twamshukuru Mola uzima upo
Shukran nawe piauwe na siku njema shemeji
Hiyo ngoma ya kucheza vifua wazi na maziwa nje kwa wanawake inaitwa kifudu, huchezwa na wadigo hujumuisha matusi s mchezo,nilisahau hilo jina kaka chano, nimeshawah kuta njia panda pia kuna mkate wa kumimina naona ni shirki tu, halaf skua najua majini huja kupitia binadam na kula nilijua wamefungiwa humo ndani wanakula asante kwa kunijuza zaidi
archduke mwambie asiwe na wasiwasi, mimi ni jirani ni kuwa hatujawahi kutana. Nipo hapa kwa ngoma zetu. Kibao sijamuona nadhani amesafiri. mambo moto mot, vimbuzi, vikuku, ngombe etc vinachinjwa chekwa chekwa. Lakini pia wamama warembo wapo, sio utani. Wengin wanatafuta kuondolewa mashetani yanayowaletea mikosi kukosa wachumba/wapenzi and the like. Wananiambia wazi wazi!aisee nimeona aibu wallah, huyu n jirani yangu bana tunakua tunapishana tu
archduke mwambie asiwe na wasiwasi, mimi ni jirani ni kuwa hatujawahi kutana. Nipo hapa kwa ngoma zetu. Kibao sijamuona nadhani amesafiri. mambo moto mot, vimbuzi, vikuku, ngombe etc vinachinjwa chekwa chekwa. Lakini pia wamama warembo wapo, sio utani. Wengin wanatafuta kuondolewa mashetani yanayowaletea mikosi kukosa wachumba/wapenzi and the like. Wananiambia wazi wazi!
Hii nayo iwe ni moja ya vivutio vya utalii
ndio je unahiji hivi vitu akili itulie kidogo
Yupo Tanga? Huyu Mzee Makallo ana watoto mabinti zake kina Saida na Barke ni maarufu pia pande hizo
hakuna siku maalum pale tu utakapovitaka utapataUnaanza lini
Hahahah kwa nn
Wanawapunga mashetani, yani wanawapunguza hasira za kuwapelekesha kiti.Mshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi zinanyweka etc. Ebu tufahamishe ngoma za mashetani ndiyo kitu gani? Umuhimu wake ni upi?
wanaitwa Psychics, hutumika sana India wa design iyoDah! Milion nne ikarudi nzima nzima mkuu, hahahaa si mchezo aisee
Inabidi Serikali watumie watu kama hao ili kudhibiti ufisadi😀😀😀
Mtu akipiga hela ya uma anajikuta anaingiwa na pepo la kuzirudisha yeye mwenyewe kama alivofanyaga Ngeleja zile za mgao wake wa Escrow 😎😎😎
Mambo yenyewe ndo kama hayo ukifika pale unahisi nywele kuwashaMshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi zinanyweka etc. Ebu tufahamishe ngoma za mashetani ndiyo kitu gani? Umuhimu wake ni upi?