Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Umeniacha hoi sana mkuu😀😀😀Ulipoanza maranzara, nilijua utapitia maeneo ya basi na kifumbini, rudi nyuma mpaka migombani mpaka utokee dumizi au utashuka kushoto kuelekea machinjioni kupitia soko mjinga mpaka kanisani kwa masista.
Mkuu google map inasaidia sana![]()
Najua hujawahi fika kabisaa huko ila umepajua kwa hisani ya gugo mapu😀😀😀
