Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
😳😳😳Hata huku kiwalani na vingunguti huwa Kuna mganga anachezesha ngoma sizielewagi maana mizuka huwa mingi kiasi kwamba anajipasulia chupa kichwani
😳😳😳Hata huku kiwalani na vingunguti huwa Kuna mganga anachezesha ngoma sizielewagi maana mizuka huwa mingi kiasi kwamba anajipasulia chupa kichwani
hahahhaauliisha hahaha hajakupa feedback??Ugomvi umeisha bilashaka
Wapi huko madame?mwananyamala?Fatilia utaona, mashoga watajaa na ndio watakua wachezaji me kwa huyu mama nimeona na s kwa huyu tu wengi sana husema hivo hizo ngoma na mashoga huenda hivi
Zamani inasemekana ilikua ngoma ya ndani lakini siku hizi ndio imejulikana kwanini ilikua inafichwaHahahaa hata sijui kibao kata hua naisikia tu
Niliahidiwa kupewa feedback lakini naona kimyahahahhaauliisha hahaha hajakupa feedback??
Madame wewe umeokoka?Dah sasa kukataliwa ndio umuangaze mwenzio binadam wabaya sana, bora kama alipona na kama ungekula huyo kuku angekudhuru sababu hukua na mpango wa kumla
Mashoga unamaanisha mabinti ma-shost au wale waliothirika na ushoga?Fatilia utaona, mashoga watajaa na ndio watakua wachezaji me kwa huyu mama nimeona na s kwa huyu tu wengi sana husema hivo hizo ngoma na mashoga huenda hivi
Kuna kijiji kimoja kinaitwa Kigombe njia ya kuelekea pangani, kitongoji kinaitwa sinawe - kila mwaka.Zumari sipendi zinavyolia ndio hizo meziita nai kumbe ni zumar hili jina goi ndio hutumika sana kumbe na wewe wa huku

madam sWaja lini kwetuEndelea kuinjoi cinema ya bure
True!Hiyo inaitwa chano. Inakua na vitu vitamu kama miwa, asali, ndizi kusukari, halua, mkate wa kumimina na vitu kama juice ambavyo huwekwa kwenye sinia
Wanasema hicho ni chakula cha hao mashetani ambao huja kupitia miili ya binadamu na kuja kula hivo vitu. Katika baadhi ya makabila na koo jambo hili linafanyika kila mwaka na wanapiga na hizo ngoma za kuwaalika hao viumbe
Inasemekana kua hiyo ni aina ya matambiko kama matambiko mengine yanayofanywa kwa aina tofauti kwenye makabila mengi hapa nchini au Afrika kwa ujumla
Kuna wakati Tanga zinapopigwa hizi ngoma huwa wanatembea barabarani mchana kweupe, wanaume wakiwa vifua wazi na wanawake manyonyo nje!
Wanaoshiriki mambo haya wanadai inawafanya wakae vizuri katika maisha yao kwa mwaka mzima. Yaani ni matambiko ya kuondoa mikosi ya kuumwa, kuharibikiwa na mambo ya kazi au biashara, kuvurugikiwa na mahusiano ya kifamilia kama vile ndoa n.k
Jambo la kushangaza kama nilivosema awali ni kwamba hata waliowasomi na wenye exposure kubwa kwenye hizo koo ikiwemo waliowahi kuishi Ulaya na Amerika wanaamini na kushiriki hayo mambo!
True!
Hata Israel ni New Year this month, hivyo wanaweka sweet food ili miaka iwe na baraka!View attachment 875080View attachment 875080
Usiseme ngoma za mashetani heshimu mila za watu, wewe ushamezwa mila za kizungu unaziona hizo ni ushetaniMshana Jr Hapa mtaani kwa ndugu zangu wadigo leo ni siku ya tatu wanacheza ngoma za mashetani. Watu wamejaa, wengi. Magari huwezi amini wingi wake. Mbuzi, kondoo, kuku vinachinjwa , damu mbichi zinanyweka etc. Ebu tufahamishe ngoma za mashetani ndiyo kitu gani? Umuhimu wake ni upi?
😀😀😀True!
Hata Israel ni New Year this month, hivyo wanaweka sweet food ili miaka iwe na baraka!View attachment 875080View attachment 875080
Wateja wengi wa waganga wa kienyeji.Kilimanjaro unamaanisha Upareni mkuu? Maana Wachaga utamaduni wa kucheza ngoma za kawaida tu hawana ndio itakua hizo za mashetani?
Kwa hiyo hapo Wachaga wameingia kwa nafasi yao ya wafanyabiashara?Wateja wengi wa waganga wa kienyeji.
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Akinamama wa nyumbani
4.Wanafunzi
Umeona ehh!
Nadhani hizo ngoma huwa wanapiga nakucheza.Hapana usomi haukufanyi usahau au upuuze mila Beef Lasagna
Kinachogomba hapa ni mila zisizofaa kama kutembea matiti wazi kwa wanawake tena wakiwa wamechanganyika dada, kaka, shangazi, mjomba n.k, kutukana matusi ya nguoni mbele ya watu wako unaowaheshimu, na mengi mengine yanayokera
True!Usiseme ngoma za mashetani heshimu mila za watu, wewe ushamezwa mila za kizungu unaziona hizo ni ushetani
True!
Ni imani tu!
Na hakuna haja ya kuogopa, mbona majini ni viumbe wazuri sana walahi!