Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Umeona eeh dada, sehemu zote zenye mambo hayo hazina maendeleohahaha kwa maisha haya si mchezo ndio mana watu wengi wa mji huu hasa wazawa hawaendelei kwa mambo kama haya
Umeona eeh dada, sehemu zote zenye mambo hayo hazina maendeleohahaha kwa maisha haya si mchezo ndio mana watu wengi wa mji huu hasa wazawa hawaendelei kwa mambo kama haya
Ahamad, nakwambia ni hapa mtaani. Wamenialika kuja kushuhudia ngoma za mashetani, walionialika wananiambia! na ndivyo ilivyo mtaa mzima! unakataa nini?Umezijuaje kama zinaitwa za Mashetani? Au umeshazipa jina tayari mkuu?
Kwa ufupi ngoma na vinanvyohusiana navyo ni matawi ya shetani. Sasa kuanzia hapo kama unataka kujua umuhimu wake itakuwa unahitaji licha ya UHASI wake (negativity).
kwa kweli na hawawazi kujikwamuaUmeona eeh dada, sehemu zote zenye mambo hayo hazina maendeleo
Madame S, njoo mbona unanikimbia dada yangu?Bora umeuliza jirani, unakufaham kwa mwananyange?? Halaf naskia ukipita karibu kamauna jini kichwani waweza jiunganao kwenye ngoma yao, hapo itakua tukwa kibao
Watawaza saa ngapi kujikwamua kiuchumi wakati wakimaliza ngoma moja wanapanga nyingine?kwa kweli na hawawazi kujikwamua
...alitupiwa jini baada ya kuchumbiwa na mkaka mmoja (alikuwa anaishi Msambweni) na akamkataa yule akamwambia utanijua mimi nani
Ila tunashukuru alipona
Sikula kwa sababu kile ninachokiamini
Naamini yule mnyama au kuku aliyechinjwa kwa maudhui ya kitoweo na si kwa uganga
s ngoma tu na mambo haya hata kielim yan huu mji ni shidaWatawaza saa ngapi kujikwamua kiuchumi wakati wakimaliza ngoma moja wanapanga nyingine?
Ugomvi umeisha bilashakakwa kweli na hawawazi kujikwamua
Hata msambweni karibu na mabawa - tanga wanazicheza hizo ngoma za GOI kila mwaka. Sisi tulikuwa tunapenda kusikiliza zumari likipulizwaHata pale Magaoni Tairi 3 alikuwepo mdogo wangu aliugua mashetani tukafanya hayo mambo kuku wa kutosha tukawachinja ila sikula hata mmoja
Mh, sidhani kama ni mashoga, kuna akina mama watu wazima sana. Watu na magari yao ya kifahari, etc. Sijaona dalili za shoga , hapana, sijui Madame S, wewe nadhani unaweza kutujuza vizuri!hahaha huyo mama mtaani kwangu ni maarufu kwa hizo ngoma
Na sjui why zinajaaga mashoga ndio wachezaji
Me sjambo kaka angu hofu kwako
hahaha we kaa tu hapo kwa kibao, ukiondoka hapo na wewe wamekupatia shetani lako lidai ngoma hahaha ukipigiwa wewe ntakuja hahaha nakutania bana me sji huko halaf hua nakujaga hapo kwa john peopleMadame S, njoo mbona unanikimbia dada yangu?
Mh, sidhani kama ni mashoga, kuna akina mama watu wazima sana. Watu na magari yao ya kifahari, etc. Sijaona dalili za shoga , hapana, sijui Madame S, wewe nadhani unaweza kutujuza vizuri!
exactly uliyoyasema, yote yapo now! watu wazuri hawakatazi kuangalia, ni muda wakosjui hua zina maana gani, na ng'ombe wanaochinjwa hapo si mchezo, nakumbuka niliwah kupita karibu mana hua watu wanajaaga nikaona huyo mama memtaja kwa mbele kaweka kitu kama mapembe na manyasi nyasi pembe kazifunga na kitambaa chekundu anaenda na beat ya ngoma ile nilikua na maswali mengi sana bora hii mada imewekwa hapa nipate kujifunza halaf sasa navosikia wanawekwa maziwa sjui miwa asali wanatenga kabisa katika sinia then wanaweka kwneye chumba kinajulikana kama kilinge yan ndio wametengewa hao mashetani hahahahaha naomba tu leo nijifunze mana naona kudanganyika tu na maswali kibao kichwan kwangu
Kumekucha kaka
Kilimanjaro unamaanisha Upareni mkuu? Maana Wachaga utamaduni wa kucheza ngoma za kawaida tu hawana ndio itakua hizo za mashetani?Mikoa inayopenda ushirikina sana (wateja wa waganga wa kienyeji)
1. Kilimanjaro
Hata msambweni karibu na mabawa - tanga wanazicheza hizo ngoma za GOI kila mwaka. Sisi tulikuwa tunapenda kusikiliza zumari likipulizwa
Ukiingia na njia panda ya msambweni, mtaa wa kwanza unauacha, unaingia mtaa wa pili, upande wa kushoto nyumba ya 6 kama sijakosea.
Kuna mzee mmoja maarufu hapo anaitwa mzee Ras*** kila mwaka ikifika watu kutoka maeneo mbali mbali wanakuja hapo "wakati mwingine inafanyika mara 2 kwa mwaka".
Kibao kata ilianza kama ngoma ya mashetani nini?😀😀😀Fatilia utaona, mashoga watajaa na ndio watakua wachezaji me kwa huyu mama nimeona na s kwa huyu tu wengi sana husema hivo hizo ngoma na mashoga huenda hivi
exactly uliyoyasema, yote yapo now! watu wazuri hawakatazi kuangalia, ni muda wako
Kibao kata ilianza kama ngoma ya mashetani nini?😀😀😀