Ngoma za mashetani

Ngoma za mashetani

kuna ile shetani anataja jina nayo inakuaje?? Mimi haya mambo mekuja yaona huku tanga, karibu waganga wengi hufanya hivi hizi ngoma huku n maarufu sana na zile nai zikipulizwa mm zinanikera sana saa zingine hakuja kucha unazisikia ni kazi jaman mambo mengine
Angalia usije ukapandisha jini Maimuna dada😀😀😀

Maana zile harufu ukianza kusikia zinakukera hua ndio chanzo cha kua "Kiti"
 
hapana sidhani kama ni hivyo kaka, hua sjui wanazipuliza aje hata kama nimelala ole sauti yake hunifikia masikioni kabisa, huyo mama nakaa naye jiran mno saa zingine adhana ya kwanza unazisikia najiuliza hawalali? Hawachoki?? Zikianzwa saa kumi tena jion mpaka saa tano huko hivi wanalipwa?
 
Lazima watakua wanalipwa maana kwao si ndio kazi ya kuwaingizia kipato sasa

Hahaha Mungu Atakunusuru dada yatakupitia kwa mbali Inshaallah
 
Aaamin inshallah, bas wanakula pesa ndef sana, najaribu kuimagine zile siku wanapiga mbuzi au wale wanyama wanachinja kulisha umati wote ule mh watu wanapesa.

Pesa nyingi sana zinateketea kwenye mambo haya, natamani mtu aliyewahi kupitia huko alete uzoefu wake ashee na sisi kama kuna faida yoyote aliyowahi kuipata kwa kushiriki mambo hayo
 
Kuna miaka flani niliishi magomeni mikumi, unashtuka ucku wa manane unaskia ngoma inachezwa sebuleni kwa wenye nyumba babu na bibi huku wanaimba na watu wengine alafu wala hata sikua naogopa,
Siku nikasafiri nikamwachia babu funguo aniangalizie gheto, maana lilikua la nje na kuna wezi sana mitaa ile, niliporudi nikakuta chumba kipo hovyo hovyo sana, kapeti chafu alafu limetoboka km limeliwa panya lipo vipande vidogovidogo eneo lote walilochezea, sasa sijui kwanini walikata au lilikatika vipande vile,
Alafu wakati nikishuhudia yote hayo wala siku napata woga hata chembe, najisemea tu watu na mambo yao na nafanya yangu na mimi sio mtu wa mambo ya kishirikina kabisa.
 
kuna ile shetani anataja jina nayo inakuaje?? Mimi haya mambo mekuja yaona huku tanga, karibu waganga wengi hufanya hivi hizi ngoma huku n maarufu sana na zile nai zikipulizwa mm zinanikera sana saa zingine hakuja kucha unazisikia ni kazi jaman mambo mengine
Unajua ile wanafanya zaidi kwa wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki

Kwa baadhi ya rika kama wazee huwa walikuwa wanafanya kitu wasambaa waliita "Huto" kwa kigezo kwamba wanawajia ndotoni (jinamizi) na waweza kuta mtu anatamka akiwa hai kuwa nikifa mnifanyie hizo tambiko wasambaa waliita "Fikah" na kuaminishwa kwamba usipofanya yatakutokea mambo ya ajabu sana na ndo maana wakifanya wanataja na majina

Terminology used

Fikah - Ngoma za asili zinanzofanywa ili kumuenzi mtu aliyefariki hizi hupigwa kwa vigongo

Huto - Ibada za kuabudu mizimu hutumika kuwachapa wanyama kwa majani kisha kumchinja na kula nyama yake
 
Ngoma hizi ni za kishetan kwa kitendo cha kuchinja tu na kunywa damu na kunyunyiza damu sehemu ni ushetan
 
Aaamin inshallah, bas wanakula pesa ndef sana, najaribu kuimagine zile siku wanapiga mbuzi au wale wanyama wanachinja kulisha umati wote ule mh watu wanapesa.
Hata pale Magaoni Tairi 3 alikuwepo mdogo wangu aliugua mashetani tukafanya hayo mambo kuku wa kutosha tukawachinja ila sikula hata mmoja
 
Haya mambo hata siyaamini japo najua yapo lakini hua siyapi kipaumbele sana nakumbuka kipindi baba amefariki, baba mdogo alikuja akamwita mama aakamwambia mumeo kaonekana mwahako huko anapata shida sana msaidie, nikamwambia mama mbele ya yule baba ukitaka ufilisike maisha yako yote mfate huyo baba anachokisema, halaf hata ukishamsiaida me na wewe tumeshuhudia mtu kazikwa kabisa na tuta lipo leo ukamsaidie atakuja ishi wapi kama n humu ndani me sitakaa na mtu ambae najua alikufa akazikwa, nikamwambia tu mwache apate shida mpaka apate tena hata aliefanya hivo hatoishi milele na mama akazingatia nilichomwambia
Unajua ile wanafanya zaidi kwa wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki

Kwa baadhi ya rika kama wazee huwa walikuwa wanafanya kitu wasambaa waliita "Huto" kwa kigezo kwamba wanawajia ndotoni (jinamizi) na waweza kuta mtu anatamka akiwa hai kuwa nikifa mnifanyie hizo tambiko wasambaa waliita "Fikah" na kuaminishwa kwamba usipofanya yatakutokea mambo ya ajabu sana na ndo maana wakifanya wanataja na majina

Terminology used

Fikah - Ngoma za asili zinanzofanywa ili kumuenzi mtu aliyefariki hizi hupigwa kwa vigongo

Huto - Ibada za kuabudu mizimu hutumika kuwachapa wanyama kwa majani kisha kumchinja na kula nyama yake
 
Pesa nyingi sana zinateketea kwenye mambo haya, natamani mtu aliyewahi kupitia huko alete uzoefu wake ashee na sisi kama kuna faida yoyote aliyowahi kuipata kwa kushiriki mambo hayo
hahaha kwa maisha haya si mchezo ndio mana watu wengi wa mji huu hasa wazawa hawaendelei kwa mambo kama haya
 
Back
Top Bottom