Ngoma za mashetani

Ngoma za mashetani

Hiyo ngoma ya kucheza vifua wazi na maziwa nje kwa wanawake inaitwa kifudu, huchezwa na wadigo hujumuisha matusi s mchezo,nilisahau hilo jina kaka chano, nimeshawah kuta njia panda pia kuna mkate wa kumimina naona ni shirki tu, halaf skua najua majini huja kupitia binadam na kula nilijua wamefungiwa humo ndani wanakula asante kwa kunijuza zaidi
Ni mambo yanachanganya sana dada. Mimi hua sielewi kama shetani ndio jini au ni vipi!

Hicho kifudu simchezo maana wanakua kama ngoma ya Mfalme Mswati anachagua mke, na pia matusi nje! Tena hapo wamechanganyika mama, watoto, kaka, dada.shangazi n.k

kwa vigezo vyote hiyo ni shirki tu dada. Na ni makabila na koo nyingi wanayo haya mambo ila hutofautiana namna ya kufanya
 
Hiyo ngoma ya kucheza vifua wazi na maziwa nje kwa wanawake inaitwa kifudu, huchezwa na wadigo hujumuisha matusi s mchezo,nilisahau hilo jina kaka chano, nimeshawah kuta njia panda pia kuna mkate wa kumimina naona ni shirki tu, halaf skua najua majini huja kupitia binadam na kula nilijua wamefungiwa humo ndani wanakula asante kwa kunijuza zaidi
daaahh mniitage namie" nijionee hayo matiti nje nje
 
Ni mambo yanachanganya sana dada. Mimi hua sielewi kama shetani ndio jini au ni vipi!

Hicho kifudu simchezo maana wanakua kama ngoma ya Mfalme Mswati anachagua mke, na pia matusi nje! Tena hapo wamechanganyika mama, watoto, kaka, dada.shangazi n.k

kwa vigezo vyote hiyo ni shirki tu dada. Na ni makabila na koo nyingi wanayo haya mambo ila hutofautiana namna ya kufanya
hahaha ningeona aibu, kichwa wazi kutoka nje siwez ije kua hivo mashangaz mababu wajomba haa hapana hahahahhaa
 
Bro mambo ya kishirikina yote huongozwa na ujinga.

Pili,sijawahi kuona usecular ukioinga juu yamambo haya,labda unionyeshe leo ni wapi usecular unapinga mambo kama haya au mfano wake.
Kwa mfano mtu akizaliwa kwenye na kukulia kwenye tamaduni hizi halafu abahatike kua kusoma na kua ama daktari,engineer au hata mwanasheria mzuri anakua kwenye nafasi nzuri ya kujua kua hayo mambo hayana nafasi kwenye dunia ya kisasa

Haina maana kwamba inasomeshwa darasani kua hiki au kile katika mila hakifai usifanye ila uwelewa wako kutokana na elimu ya kisekula aliyoipata ndio unamfanya aache hayo mambo

Elimu inayokataza directly ni elimu za dini na imani za dini ndio hazijapepesa macho wala kutikisa masikio, zeimekataza kabisa imani hizo na kuziita za kishirikina
 
Umeona eeh! Eti mkifanya hayo mambo ya aibu ndio mnafanikiwa mambo yenu! Kama sio u Free Manson ni nini sasa?
imani kaka, imani n kitu cha ajabu sana

Nakumbuka wakat niko vanga, kuna babu mmoja na yeye ni mganga, alikuja mdada siku ya kwanza akasema usiku anaota ndoto za ajabu ajabu kaja kutafta tiba ndoto zil zikate, akaambiwa aje siku inayofatia, sasa yule babu ni tapeli si mganga halisi, kulipokucha dada wa watu akaja wakat huo babu alishasahau kama kuna mtu atafata dawa alichokifanya akamwagiza mtoto wa mkewe wa kwanza et akamletee dawa, sasa me nilikua uwani na bibi huyo mke wa huyo babu, akaja yule kaka akachukua rangi za ukili najua wazijua akadondoshea kidogo kwneye maji ya lita moja akayachanganya aakanifanyia ishara ya kua kimya nikabaki nasikitika na kucheka akapewa jinsi ya kutumia kombe hilo feki baada ya siku tatu akaleta mrejesho ndoto zimekata asee nilicheka sana
 
Bro bila shaka hapa umeongelea USOMI wa usecular sio ?

Bro secular haina uwezo wa kumjulisha mtu kwamba jambo fulani baya na jambo fulani zuri hasa kitabia. Kwahiyo usishangae hata yule aitwae msomi wa ki secular akawa anakula huku anakimbia,akawa hajui hata kuoga janaba,vipi atajua kuhusu ubaya wa hayo mangoma ?

Nakukumbusha tu usecular hauna uwezo wa kumgutusha mtu na kumfanya mtu awe mstaarabu.

Usecular una udhaifu mkubwa sana hasa kimaadili na kitabia.

Nakumbuku nilivyokuwa mdogo haya nilikuwa naya shuhudia mkoani Tabora.
Wanaita "Mwalimu" au ng'weimu
 
Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki

Miye sijambo pia namshukuru Mola
Zile ngoma za kishirikina kuna washiriki wake hutumika kuleta taarifa ambazo hazijulikani.Hali hiyo ndiyo ramli yenyewe na anayeandaa hiyo ngoma humwita fundi,ndiye mganga anayeshughulikia mambo yote mpaka utoaji wa makafara kama uchinjaji wa kuku,mbuzi,kondoo nk.Ni kawaida kumwona yeyote mwenye maruhani kushiriki bila hata yeye mwenyewe kujitambua ikiwa atakuwa jirani na eneo la ngoma.
 
hahaha huyo mama mtaani kwangu ni maarufu kwa hizo ngoma

Na sjui why zinajaaga mashoga ndio wachezaji

Me sjambo kaka angu hofu kwako
Shoga yeyeto hawezi kosa shetani ndo amuongozae,ndo maana ukiwa na tabia za kuangalia porn za mashoga shetani lzm akuingie then si mda utakuwa chakula uliwe au ule.
 
Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki

Miye sijambo pia namshukuru Mola
Hizo ngoma ni matawi ya Freemasonry na wote hao ni Freemasonry, sawa na ngoma za vodoo za west Africa.
 
Hiyo inaitwa chano. Inakua na vitu vitamu kama miwa, asali, ndizi kusukari, halua, mkate wa kumimina na vitu kama juice ambavyo huwekwa kwenye sinia

Wanasema hicho ni chakula cha hao mashetani ambao huja kupitia miili ya binadamu na kuja kula hivo vitu. Katika baadhi ya makabila na koo jambo hili linafanyika kila mwaka na wanapiga na hizo ngoma za kuwaalika hao viumbe

Inasemekana kua hiyo ni aina ya matambiko kama matambiko mengine yanayofanywa kwa aina tofauti kwenye makabila mengi hapa nchini au Afrika kwa ujumla

Kuna wakati Tanga zinapopigwa hizi ngoma huwa wanatembea barabarani mchana kweupe, wanaume wakiwa vifua wazi na wanawake manyonyo nje!

Wanaoshiriki mambo haya wanadai inawafanya wakae vizuri katika maisha yao kwa mwaka mzima. Yaani ni matambiko ya kuondoa mikosi ya kuumwa, kuharibikiwa na mambo ya kazi au biashara, kuvurugikiwa na mahusiano ya kifamilia kama vile ndoa n.k

Jambo la kushangaza kama nilivosema awali ni kwamba hata waliowasomi na wenye exposure kubwa kwenye hizo koo ikiwemo waliowahi kuishi Ulaya na Amerika wanaamini na kushiriki hayo mambo!
Kama vodoo ya west Africa, pia ukisema usomi ni general, usomi kwenye nyanya IPI?
 
Back
Top Bottom