Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
Komba aendelee kupumzika kwa amani, ilikuwa kipaji kikubwaSiwakubali majizi ya Ccm ila lile song lao linaloimbwa "Sasa kumekucha , kucha sasa kumekucha , kucha" ni ngoma kali
No reform ya konyo
Ndio wanavyowazubaisha na masongi ukimaliza kusikia kaangalie na deni la taifaSiwakubali majizi ya Ccm ila lile song lao linaloimbwa "Sasa kumekucha , kucha sasa kumekucha , kucha" ni ngoma kali
Mi nimeshahama nchi deni halinihusuNdio wanavyowazubaisha na masongi ukimaliza kusikia kaangalie na deni la taifa
Mi nimeshahama nchi deni halinihusu
[/QUOTE
Haha 😄 sawa mkuu