PostGE2025 Ngoma inogile. Baada ya Vyombo vya Kimataifa kumwaga ukweli, Wahutumiwa wa Mauaji wanaweza kushtakiwa popote sio lazima ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu.

Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada ya Uchaguzi nchini Tanzania sasa kinachofuata ni Kesi mbalimbali kufunguliwa Mahakama za ndani kwenye nchi mbalimbali ikiwemo za Ulaya na Marekani na kwingineko kuziomba Mahakama husika kutoa Hati za Kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF kwa mauaji ya Maelfu ya Watanzania wakati wa Uchaguzi mwaka huu.

Hili lilifanyika dhidi ya Watuhumiwa wa Mauaji ya Rwanda, hivyo haitakuwa vibaya likifanyika hapa Tanzania pia.
 
Mkuu huo ni mchakato mrefu lazima kuepo nchi inao jitolea kushitaki na kukusanya ushahidi, au kusubiri mawakili na wapelelezi wa ICC wenyewe kuanza ni mxhakoto unao weza kuchukua kati ya miaka 2 hadi 5.
 
Haina urefu wowote.

So far Nchi kadhaa za Ulaya zimeonesha kulaani.

Hata leo mfano Ubelgiji akisema anafanya tu linaweza kufanyika.

Wanaharakati wakipush hili mwaka kesho tu Kesi zinaanza kufunguliwa na hati za kukamatwa zinaanza kutolewa.
 
Screenshot_20251121_110448_X.png
 
sijapenda kichwa cha habari chako kwamba ''ngoma inogile'' wakati tunaomboleza ukatili na uovu mkubwa uliofanyika dhidi ya watu wetu, hivyo kwangu kutumia neno ngoma inogile ni kuwa insensitive kulinganisha na kilichotokea...
 
Ngoma inogile kwa sababu haki inaenda kupatikana kwa ndugu zetu waliouliwa na Samia na vikosi vyake.
 
Kwa mujibu wa Sheria za Nchi mbalibali duniani Mahakama za Nchi husika zinaweza kutoa hati ya Kukamatwa Wahutuhumiwa Wanaotuhumuwa kutenda Makosa dhidi ya Binadamu.

Kwa kuwa Chombo kikubwa kabisa cha habari duniani CNN kime confirm kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama kuua raia kipindi na baada ya Uchaguzi nchini Tanzania sasa kinachofuata ni Kesi mbalimbali kufunguliwa Mahakama za ndani kwenye nchi mbalimbali ikiwemo za Ulaya na Marekani na kwingineko kuziomba Mahakama husika kutoa Hati za Kuwakamata Samia, DGIS, IGP na CDF kwa mauaji ya Maelfu ya Watanzania wakati wa Uchaguzi mwaka huu.

Hili lilifanyika dhidi ya Watuhumiwa wa Mauaji ya Rwanda, hivyo haitakuwa vibaya likifanyika hapa Tanzania pia.
Juzi nimeona pia uturuki imefungua kesi dhidi ya Netanyau kuhusiana na mauaji ya gaza
 
Hizi mahakama zetu za akina Ndunguru , KISWAGA na Mwanga
Hizi mahakama za maelekezo kutoka Ikulu
 
CNN wanasema yule mama wa Arusha aliyevalia sweta la purple alikuwa n mjamzito wa miezi mitatu, manyonyo ameua mama na mtoto mchanga miezi mitatu tumboni.

Wakristo wenzangu em nikumbusheni kama kwenye Biblia kuna mahali shetani aliua mtoto.
 
Juzi nimeona pia uturuki imefungua kesi dhidi ya Netanyau kuhusiana na mauaji ya gaza
Sahihi kabisa.

Hata Rwanda. Watuhumiwa wengi wa Mauaji ya Kimbari walitolewa hati za kukamatwa na Mahakama za Ubelgiji na Ufaransa.
 
Watusaidie jamani hatuna amani amani kabisaaaa nilivyoona hizo video hadi tumbo limekata
 
Hili limeshafika duniani hakuna kurudi nyuma.

Hakuna uhalifu uliowahi kuripotiwa mbele ya dunia na ukaachwa. Ni suala la muda tu.
 
Afazali umenipa moyo jamani sio kwa unyama ule hata vile hivi IGP,CDF,DGIS wanavyoona huu unyama wanapata wapi moyo wa kuendelea kukaa maofisini
 
Hivi wakuu kwanini katika mashitaka aya wanazungumziwa ,tu IGP, CDF na DGIS , wengine vipi , binafsi napendekeza kila alietia mkono aubebe msalaba hata kama ni mtendaji wa mtaa au kata nakuendelea
 
Kuhusu ICC tuache kujipa False Hope.
Kwa tulipofika na Jumuiya ya Kimataifa ilivyoliripoti hili suala, ICC haiepukiki.

Hawa watatolewa hati za kukamatwa na ICC na Mahakama zingine kwenye Mataifa mbalimbali duniani.
 
labda aje akamatwe akisha maliza uongozi, na ambapo anaweza kataa kusafiri nchi kama hizo na wasimfanye kitu
 
Back
Top Bottom