'Ngabu nina mimba'

Kama anasema ana mimba yako mwambie akurudishie
 
Trainer, Kama kuna possibility ya mimba hebu ukaonane na wale wataalamu wa prophylaxis
 
'ngabu nina mimba' nikajua unamimba kweli...
 
Ila videmu vingi uki interact now unaweza ukainunia jinsia nzima akili ndogo sana hadi unapatwa na hasira
 
Mkuu huyu demu si ulishawahi leta threads yake kwamba umemuacha sijui anatishia kumuloga? Kulikoni leo? Au huyu ni demu mwingine wa cbe?
 
Huyu mwingine...
Aiseee basi una bahati na vitoto vya cbe but nakumbuka ile siku ulikiponda sana hicho chuo.ukidai ni vilaza how comes umerudia tena kwa vilaza.hehehe au huwa hujifunzi kuweka akiba ya maneno?
 
Ndomu za jero sio aise! Mi nikiona sina uhakika wa kupata angalau rough rider ntajikaza niache. bora we ni mimba! Kesho ukiambiwa pancha la maisha?

Mkuu hata mimi...nina shida hiyo...Rough Rider au Durex sana sana. Nikikosa hizo bora hata kuahirisha. Sio dharura ati. Ha ha ha
 
Ngabu umetunukiwa mkuu. Wewe jiandae tu kulea na kuitwa baba..."kitanda hakizai haramu"
 
Ngabu wewe wewe? Ahahahahahahaa nimecheka sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…