Brazil hii ni aibu ya mwaka inabidi Scolari ajiuzulu kabla hakujakucha kesho
Na kweli maana wabrazil leo wanahuzuni sana bora kesho wapewe holiday wajipize
Brazil hii ni aibu ya mwaka inabidi Scolari ajiuzulu kabla hakujakucha kesho
Yale magoli 4 ndani ya dakika 6 sijui yameingiaje kama sijaona vizuri vile
Sio wewe tu
Mjerumani ananikumbusha vita ya Maji Maji! Tulipigwa kwa mtindo huu naona
Halafu ujerumani wanashambulia kwa usongo kama wanatafuta bao la kusawazisha
Na golikipa wao anakaza utadhani anatafuta timu kubwa ya kuchezea hahahahahahahaha....,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
BRAZIL kushneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii WameufyataaaaaaaaaaaaaaaaaWamalize na matatu yawe 10 tujue moja........ila wajerumani mbabe wao algeria hawatamsahau alivyowatoa kijasho
BRAZIL kushneiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Wameufyataaaaaaaaaaaaaaaaa
Na sie tunafunga 10...huu mpira sijui kama utaisha salama
Hujui mpira ww, mduch kwa argentna wachukilia poa eeeeeee
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Pole sana mkuu naona timu yako imekula seven!! Told you earlier bila Silva Brazil hamna kitu!!
Pole sana, told you early today, bila Silva pale nyuma was a disaster and it has come to pass!
Sawa bosi nmekubali kushindwa, natupa karata yangu ya mwisho kwa Argentina Mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Ahsante..bado naipenda brazil zaid na zaid na ntazidi kuipenda yaani ukipenda kitu hata upate misukosuko na changamoto unakubaliana nazo ilimradi moyo umependa.....
Mie mgumu sana kukata tamaa yawezekana mie mbishi lol
amuna iyo ww wacha kujifariji Brazil ni aibuuuuuuuuuuu yani aibuuuuuuu ha ha ha haaaa Chezea german machine wwAhsante..bado naipenda
brazil zaid na zaid na ntazidi kuipenda yaani ukipenda kitu hata upate
misukosuko na changamoto unakubaliana nazo ilimradi moyo umependa.....
Mie mgumu sana kukata tamaa yawezekana mie mbishi lol