Neymar kutokushiriki World cup

Neymar kutokushiriki World cup

Hata timu mbovu kuliko zote duniani zinazofanikiwa kuingia kwenye Kombe la Dunia ni nadra sana kufungwa magoli kama haya ya leo. Sidhani kama kesho kutakuwa na karamu ya magoli kama leo. Halafu watu wanasema Wajerumani wazuri sana, ukiondoa magoli yao, uchezaji wa timu yao na Brazil wala haukutofautiana kiasi hicho.

Defence ilidhoofu tu ndio wakajishindia magoli 4 within dakika 6...baada ya half time marcelo alibana na brazil walikosakosa kama magoli matatu kwa haraka haraka.

Wale wamefunga kwa bahati tu hakuna effort yoyote ndio maana haikua wow hata kushangilia hawakua na mzuka
 
Bomba sana ya nini kujipa pressure kwa mambo ambayo huna control nayo? Ndiyo tunaipenda sana #TeamBrazil lakini si kiasi cha kufikia kujitesa kama wafanyavyo wengine. Mie kweli nilikuwa na pressure tena si ndogo ila baada ya goli la tatu nikahama kabisa kwenye TV nakuja hapa jamvini. Nimehuzunika hapa na #TeamBrazil wenzangu wote na kupanga mikakati ya jinsi ya kusonga mbele lol!!!! hahahaaha wote tumehamia #TeamArgentina.

Maisha haya kujikera utakufa siku si zako maana kuna kila aina maudhi....aka mwenzangu nkikereka natafuta kitu cha kunchekesha nachekaaa kwa raha zangu
 
Bomba sana ya nini kujipa pressure kwa mambo ambayo huna control nayo? Ndiyo tunaipenda sana #TeamBrazil lakini si kiasi cha kufikia kujitesa kama wafanyavyo wengine. Mie kweli nilikuwa na pressure tena si ndogo ila baada ya goli la tatu nikahama kabisa kwenye TV nakuja hapa jamvini. Nimehuzunika hapa na #TeamBrazil wenzangu wote na kupanga mikakati ya jinsi ya kusonga mbele lol!!!! hahahaaha wote tumehamia #TeamArgentina.

Mie tulifungwa 4 nlianza kucheka sana nkaona leo mambo kinachonipa moyo ni kuwa mjerumani hachukui kombe hata angetufunga 100......
 
Utadhani yalikuwa ni mazoezi ya team!!! Dah!!!! goli nne katika dakika 15 tu!!!! Hata Taifa Stars wasingeruhusu magoli kirahisi vile.

Defence ilidhoofu tu ndio wakajishindia magoli 4 within dakika 6...baada ya half time marcelo alibana na brazil walikosakosa kama magoli matatu kwa haraka haraka.

Wale wamefunga kwa bahati tu hakuna effort yoyote ndio maana haikua wow hata kushangilia hawakua na mzuka
 
Utadhani yalikuwa ni mazoezi ya team!!! Dah!!!! goli nne katika dakika 15 tu!!!! Hata Taifa Stars wasingeruhusu magoli kirahisi vile.

Afadhali mazoezi naona ilikua rede wallah kila nkikaa siamini naona naota kabisa yale magoli sijayaona vizuri ujue najiulizwa maswali tele ilikuaje namba hii....

Hivi wewe unadhani nani wa kutupiwa lawama? Ni scolari? Au wenyewe wamezembea? Au missing ya silva na neymar...

Alafu scolari kama hajali vile
 
Na ilikuwa almanusra waadhirike, Ghana wakala nao sahani moja na kuongoza 2-1 kabla ya kusawazisha na USA nao wakawatoa kijasho chembamba kwenye 16 bora...Hawana lolote la kutisha Wajerumani wa kawaida sana.

Algeria pamoja na mfungo wa Ramadhan lakini hakufungwa 7 na Ujerumani...
 
11 billion dollars gharama zote hizo wamekosa kutwaa kombe walau wakafidia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hata sijui aisee, lakini kama tujuavyo kandanda ni Team sport hivyo timu yote inabidi ibebe lawama hasa Scolari na viongozi wengine. Hivi kweli yule Fred alistahili kuanza badala ya Willian? Je, timu ilijiandaa vipi katika kulinda goli lao kama walijiandaa au walijiandaa kwa mashambulizi tu? Kuna maswali mengi sijui kama majibu ya maswali hayo yatapatikana hivi karibuni lakini ni kipigo cha karne ambacho wapenzi wa soka duniani hatukukitegemea kabisa na tutakikimbuka kwa miaka mingi ijayo.

Afadhali mazoezi naona ilikua rede wallah kila nkikaa siamini naona naota kabisa yale magoli sijayaona vizuri ujue najiulizwa maswali tele ilikuaje namba hii....

Hivi wewe unadhani nani wa kutupiwa lawama? Ni scolari? Au wenyewe wamezembea? Au missing ya silva na neymar...

Alafu scolari kama hajali vile
 
Hata sijui aisee, lakini kama tujuavyo kandanda ni Team sport hivyo timu yote inabidi ibebe lawama hasa Scolari na viongozi wengine. Hivi kweli yule Fred alistahili kuanza badala ya Willian? Je, timu ilijiandaa vipi katika kulinda goli lao kama walijiandaa au walijiandaa kwa mashambulizi tu? Kuna maswali mengi sijui kama majibu ya maswali hayo yatapatikana hivi karibuni lakini ni kipigo cha karne ambacho wapenzi wa soka duniani hatukukitegemea kabisa na tutakikimbuka kwa miaka mingi ijayo.

Mie naona scolari hawapangi vilivo fred alikua apumzike tu leo........

Halafu watu walimtegemea dante mie sijaona jipya kwa kwi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! Na hii ndiyo inaumiza sana hasa, lakini wameweza kutengeneza miundo mbinu ya kutosha na 2016 wanahost Summer Olympics katika baadhi ya hivyo viwanja.

11 billion dollars gharama zote hizo wamekosa kutwaa kombe walau wakafidia
 
Mhhhhh! Na hii ndiyo inaumiza sana hasa, lakini wameweza kutengeneza miundo mbinu ya kutosha na 2016 wanahost Summer Olympics katika baadhi ya hivyo viwanja.

Wakifanya hivyo itakua bomba
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Scolari Apologizes for Brazil's World Cup Failure

BELO HORIZONTE, Brazil - Jul 8, 2014, 8:47 PM ET
By TALES AZZONI AP Sports Writer

AP_logo_update_20130709.gif

Brazil coach Luiz Felipe Scolari apologized to fans for failing to lead the host to the World Cup final, saying the "catastrophic" defeat to Germany on Tuesday marked the "worst day" of his professional life.
"I have to apologize for the negative result, for not being able to reach the final as we all wanted," Scolari said, speaking calmly after the humiliating 7-1 loss.
Scolari took full responsibility for the drubbing, and said he knows that it's very likely that his career may be defined by what happened at the Mineirao Stadium - even though he also led Brazil to the 2002 World Cup title.
"Naturally, if I think about my life as a player and as a coach, I think this was the worst day of my life," Scolari said. "I know I'll probably be remembered for losing 7-1 to Germany, for Brazil's worst loss. But it was a risk I knew I was taking. I have to take responsibility for it. Life must go on for everybody."
The coach said he has to find a way to learn from the "catastrophic loss" in front of the home crowd. He said there are "no excuses" for what happened, not even the absence of star striker Neymar, who was ruled out of the tournament because of a fractured vertebra sustained late in the match against Colombia in the quarterfinals.
"They (Germany) probably would have done it with Neymar playing," Scolari said. "I don't think there's any reason for us to suppose that with Neymar it would have been different."
He said the "very high quality" of Germany was the reason for Brazil's disappointing elimination at the home tournament.
"They took advantage of their chances, they are very good," he said.
Scolari was vivid on the sideline as Brazil pressured Germany in the first few minutes. After Brazil conceded the third goal, he kept asking players to be calm, but as the Germans scored for the fifth time, the coach sat down on the bench and only sparingly came back to the sideline.
"It was one after the other, I think everyone blanked out," Scolari said. "There was nothing we could do. We panicked."
Scolari declined to discuss his future, and the president of the Brazilian football confederation has always said that Scolari would remain as head of the national team no matter what. However, the coach is unlikely to remain with Brazil after Saturday's third-place match in Brasilia. He had said in the past that he would like to retire after coaching in the World Cup, but recently said it's still possible he would extend his career outside of Brazil.
"I don't think I have any debts to pay," he said about his time with Brazil. "I did my job, as always."
Tuesday's result marked only the third loss for Scolari since he returned to the national team in late 2012. The others came in friendlies against England and Switzerland. He had led the team to the title of last year's Confederations Cup, the World Cup warm-up tournament

BAK umeona eeeh kama scolari yeye ndio alolikoroga

Samahi its too late bhana....

Utafkir katumwa kwa kweli wameumia sana oscar kaliajeeeee hadi huruma.....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nimeshangaa kwanini hakutangaza kujiuzulu leo, yaani baada ya matokeo haya ya leo bado anategemea kupewa tena timu ta Taifa kama kocha!? SMDH!

BAK umeona eeeh kama scolari yeye ndio alolikoroga

Samahi its too late bhana....

Utafkir katumwa kwa kweli wameumia sana oscar kaliajeeeee hadi huruma.....
 
Germany struck first. Then they struck second. Then they struck third, fourth and fifth before their much-anticipated World Cup semifinal match against host Brazil was half an hour old.
By halftime, many Brazil fans were sobbing. Some were doing the unthinkable by leaving Belo Horizonte's Estádio Mineirão early. It was a World Cup bloodbath of historic proportions, leaving players, fans and spectators alike in utter shock. It was 5-0 at halftime, rendering the final score of 7-1 all but irrelevant.
How did this happen?
See also: The Miserable Agony of Being a Brazil Fan Today

Brazil looked tight from the start, faces drawn as they took the field. They came out aggressive, though - which was commendable without star striker Neymar, but left them open to counterattacks on defense. Germany's first goal, from Thomas Muller, came off a set-piece, however; perhaps suspended star defender Thiago Silva wouldn't have made a difference there. But the play did underscore his absence.
Here's Muller's 11th-minute goal. 1-0, Germany.

wb81UrS.gif

Then Miroslav Kose scored in the 23rd minute to become the World Cup's career-leading scorer with 16 total goals. 2-0, Germany.

EDp3A6D.gif

Then Tony Kroos scored in the 24th minute. 3-0, Germany. Then Kroos scored again in the 26th minute. 4-0, Germany.

jRQysZ4.gif

Then Sami Khedira scored in 29th minute. 5-0, Germany. Talk about brutal. Cameras found this crying child in the stands at 4-0 - a most appropriate image indeed.

The second half at first looked a little more even - if you didn't know the score. But that didn't last. By the closing minutes, ESPN's announcers were incredulously remarking on how Brazil had "thrown in the towel." But again, it begged a question: How did this happen?
Pundits will dissect and dissect again the ins and outs of this game - but it comes down to one thing, really. You can talk about pressure, and it likely would have been a different match with Silva and - especially - with Neymar. But Brazil was simply outclassed on Tuesday, running into a German buzz-saw that couldn't be stopped.
We heard it over and over, before and during this World Cup: Brazil's 2014 squad is not a classic Seleção, not an all-time Brazilian squad by any stretch. A bunch of decent players surrounding one great one. Without that great one, Neymar on the pitch, the truth was laid more bare than ever. Brazil dodged bullets against Croatia, Mexico and Chile in the knockout and group stages. But this time they faced a Howitzer and there was no dodging.
André Schürrle's second-half goal to make it 6-0 added only more insult to injury.
Then Schürrle scored another in the 79th minute to make it 7-0 - the most goals ever scored by one team in a World Cup semifinal. Brazilian players had by that point largely given up - more shameful by far than the lopsided score or dominating way it was reached. Oscar scored for Brazil in the 91st minute to produce the final line, but the goal seconds before the final whistle almost felt ironic.
The question for Brazil becomes not what just happened but what happens next, after the team's first home loss in a competitive match since 1975.
Players and coaches alike said anything less than a championship would be an utter failure this summer, and now that utter failure has been realized in humiliating fashion.
For a nation that still dwells on the tragedy of losing the 1950 World Cup final at home, will the players on this team become pariahs for life? Will they ever overcome the tragedy as it lives on in their own minds? Will Brazilians' collective reaction be one more of sadness or rage?
One wonders.
But most of all one feels awful for the players involved, of whom so much was demanded and only disappointment - fairly or not - was delivered.
[h=1]Sad Brazilians[/h] Close See All Slideshow

YOXUKl8.gif

ap241992971792.jpg

C8FbSxh.gif

Open Gallery Prev 1 22 Next
[h=2][/h]

Show As List
 
Haya farkhina baadhi ya magoli ambayo hukuyaona unaweza kuyaangalia vizuri hapo juu, ila yasikuongezee majonzi.
 
Last edited by a moderator:
Usingizi umekuruka nini farkhina baada ya shughuli pevu? lol!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom