Neymar kutokushiriki World cup

Neymar kutokushiriki World cup

Kumbe haya mapenzi na #TeamBrazil umeyaanza siku nyingi eeh? Hongera zako, niko calm leo ni dalili nzuri za ushindi lakini sasa ngoja iwe timu ziko sare huku zikiwa zimebaki dakika chache mpira kwisha hapo ndio mchecheto huanza na kuanza kuwa na wasiwasi wa hali ya juu lakini uzuri wangu mie sina midadi kama weye lol!!! hahahahaha wa kurusha miguu na mikono huku na kule kama kuna mtu jirani yako ole wake hukawii kumtandika teke la uso kwi kwi kwi kwi GO! #TeamBrazil GO!

Upo? Watu naona wanataka kupigana
 
Hahahaha na mpira ukiwa karibu na goli narusha mguu
 
Mkuu say that again, Willian is better than Neymar and Dante better than Silva! Whoa never heard this before!!

yaani timu nzima wanacheza neymar na silva kutokuepo kwao pengo kubwa
 
Hili li timu ni libovu tokea mwanzo waliibebabeba tuu ili fujo zisitokee, ngoja leo tuone mwisho.
 
Takwimu za Neymar Brazil 2014
Mechi alizocheza: 5
Dakika alizocheza: 457
Mashuti golini : asilimia 72.2
Magoli aliyofunga: 4
Pasi zilizotoa goli: 1
Na katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ujerumani nahodha Thiago Silva hatokuwepo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za manjano.
Wachambuzi wanasema Brazil ya Scolari inaonekana kutofuata ile sera ya Ki-Brazil ya "O Joga Bonito" (yaani kandanda safi) badala yake inacheza kupata ushindi kwa njia yoyote. Mjadala uendelee hapa kistaarabu bila kutoleana maneno machafu. Shukran.

Baada ya hizi 5-0 ndio nimekukumbuka na kukuelewa mkuu!! Baaaaas naenda lala hata kipindi cha pili sitak tena.
 
Yale magoli 4 ndani ya dakika 6 sijui yameingiaje kama sijaona vizuri vile
 
Brazil hii ni aibu ya mwaka inabidi Scolari ajiuzulu kabla hakujakucha kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom