Wakuuu naomba mkubaliane namm kuhusu hili,kombe linabak brazil na kama haltobak basi team ya brazil itaingia final,neymar hatocheza ndio bt mbadala wake upo yule Williams thou hana mikogo na kipaj kama cha yule mtoto,beki kisiki Sillva pengo lake halizibik at pa bt yupo bek Dante najua atasimamia show mpaka knaeleweka,watoto watacheza kufa na kupona kama ilvokuwa game dhid ya colombia,msitishikr wajeruman hawa mdebwedo watakaaa nyingi tu leo...here we gooo#teambrazil#
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨