Neymar kutokushiriki World cup

Neymar kutokushiriki World cup

Tus66

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
14
Reaction score
1
Nyota wa Brazil Neymar jana alivunjika uti wa mgongo baada ya kugongana na mwenzake dakika tano kabla ya mechi na Colombia kuisha na Brazil kushinda bao mbili kwa moja.

Pia watamkosa beki Thiago Silva alielimwa kadi mbili za njano.Brazil itaivaa Ujerumani katika mechi ya nusu fainali inayotarajiwa kuwa na ushindani mkali.
 
Takwimu za Neymar Brazil 2014
Mechi alizocheza: 5
Dakika alizocheza: 457
Mashuti golini : asilimia 72.2
Magoli aliyofunga: 4
Pasi zilizotoa goli: 1
Na katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ujerumani nahodha Thiago Silva hatokuwepo kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za manjano.
Wachambuzi wanasema Brazil ya Scolari inaonekana kutofuata ile sera ya Ki-Brazil ya "O Joga Bonito" (yaani kandanda safi) badala yake inacheza kupata ushindi kwa njia yoyote. Mjadala uendelee hapa kistaarabu bila kutoleana maneno machafu. Shukran.
 
mechi itakuwa ngumu kwa upande wa brazil hasa ukizingatia kiwango cha ujerumani.
 
Always Brazil huwa hawategemei mtu mmoja unaweza shangaa akapangwa dogo mwingine ambaye hajulikani na aka perfom fresh Tu km unakumbuka mwaka 2002 ronaldinho alipigwa red robo fainal nusu fainal hakucheza lakn walishinda
 
nimemkumbuka zapataaa,yepesiii,james,paker,ramos.Nilipenda speed yao
 
Kwanaza sote tuwe pole kwa kuuguliwa na kiungo wa team yetu neymar jr....

Pili je unahisi kuumia kwako na kutoshiriki itakua ni changamoto noja wapi ya sisi kutotwaa kombe? (Mie nasema HAPANA)

Mwisho kabisa tuombe kesho tuwarudishe kwao german na sie tusonge mbelw tayar kwa fainal.....

TEAMbrazil
 
Last edited by a moderator:
Mie naamini kombe litabaki Brazil pamoja na kuwa kuna shughuli pevu ya kushinda mchezo wa kesho na final game. Mchezaji atakayemreplace Neymar naye ni mzuri sana. Na motisha waliokuwa nao wa kutaka kulibakisha kombe Brazil utawafanya wacheze kwa ari kubwa sana. Haitakuwa mechi rahisi kesho but let's hope for the best that #TeamBrazil will prevail.
 
Silva kesho hachezi......unahisi ndio hatutapita?

Hapo ndio wasiwasi wangu ulipo, he is the leader of that team holding that defense well. Now considering the Germans are very dangerous offensive team yani kesho lazima Scolari amwambie huyu Marcelo not be caught out of position kama game mbili zilizopita coz you give the kinds of Muller such opportunities, they will punish you hard!!
 
Mie naamini kombe litabaki Brazil pamoja na kuwa kuna shughuli pevu ya kushinda mchezo wa kesho na final game. Mchezaji atakayemreplace Neymar naye ni mzuri sana. Na motisha waliokuwa nao wa kutaka kulibakisha kombe Brazil utawafanya wacheze kwa ari kubwa sana. Haitakuwa mechi rahisi kesho but let's hope for the best that #TeamBrazil will prevail.

Wakipita kesho mkuu, kombe ni lao!
 
Well said.......tutapita tu nani ana mreplace? Maana kuna mtu kaniambia ati amepewe pain killers na strong medication hivo neymar ataweza cheza but najua kanidanganya kunipa moyo tu lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo ndio wasiwasi wangu ulipo, he is the leader of that team holding that defense well. Now considering the Germans are very dangerous offensive team yani kesho lazima Scolari amwambie huyu Marcelo not be caught out of position kama game mbili zilizopita coz you give the kinds of Muller such opportunities, they will punish you hard!!

Hope scolari ataipanga vyema mchezo ila fred tu ampumzishe bhana
 
Mhhhh! Sidhani kama kesho anaweza kucheza labda kwenye final game kama watashinda kesho, atakayecheza badala ya Neymar kesho ni Willian naye ni mzuri ila si kwa kiwango cha Neymar.

Well said.......tutapita tu nani ana mreplace? Maana kuna mtu kaniambia ati amepewe pain killers na strong medication hivo neymar ataweza cheza but najua kanidanganya kunipa moyo tu lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom