Neymar kutokushiriki World cup

Neymar kutokushiriki World cup

I know but thats how soccer is and the genesis start with being the host yani huchezi game ngumu hata kidogo so they had not well prepared well. Yani kama mimi Scolari, ningepack the bus after the second goal!

Bas ww n kocha usiestahil hata kufundisha timu ya watoto, utapak vip bus kwa team inayoshambulia kma ile? Njia ambayo ingemuikoa brazil jana n kuwa na wachezaje wenye uwezo wa kumillk mpira kwa muda mrefu na wenyye uwezo wa kukokota mpira, hulk, benard na wengneo ndo kitu walishindwa na cjui fred alitumia vgeZo vip mpanga timu ya taifa kma brazil, anazdiwa kiwango hata na said bahanuz wa yanga...

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mkuu.....heshima mbele.....sijawahi kuwa impressed na jinsi Neymar anavyosiwa.....siajona bado umahiri wake...umahiri wa Neyamr uko kwenye midomo ya watu.......na sema tu ana damu ya kupendwa kama Beckham......lakini kwa uwezo kimpira na technic hawezi kumkuta CR7 au Messi........

Argentina walini-let down siku walipocheza na Bosnia.....walipekeshwa puta utafikiri walikuwa wanacheza na Brazil....na staili yao ya uchezaji kwenye hii World Cup is not giving any hope.....bahati imechangia sana Argentina kushinda mashindano haya......Uholanzi akikomaa na yule de-Jong atakuwepo uwanjani hiyo kesho....kwa hiyo mpira utakuwa mzuri......

Ujerumani leo waliweka viungo wao mahiri na wenye kujituma sana na hasa Bastian....huyu mimi huwa namuita.."Jemedari wa Uwanjani".....

Brazil kuna sehemu alipita kwa penalty jana kagongwa na Germany hajapita kwa penallty
Argentina hajapita kwa Penalty ila Uholanzi kwa Penalty ,tusubiri tuone,yatajirudia ya Brazil?
 
Brazli ni aibuuuuuuuuuuuuimuuuuuu chezea German machine ww
 
Somewhere went wrong in team selection. Ina maana baada ya kina Albarto Carlos, Ronaldo, Ronabhino hakuna mastaa wengine ukiacha huyo Neymar? kwa nini timu nzima itegemee wachezaji wawili?
 
.....halafu timu yenyewe ni Brazil........hivi umecheck chemistry ya wachezaji wa Ujerumani....asilimia kubwa ni vijana wa Guadiola.....
 
Teh teh teh, ndugu yangu mambo yanabadilika.

Baada ya akina Mfede, Tunde, Roger Milla, Nkono, Makanaki Cameroon ndiyo hiyo jina
Baada ya akina Oliseyi, Okocha, Babayaro, Rufai Nigeria ndiyo hiyo jina.

Timu ni mbovu, wachezaji wengi wanacheza mtindo wa Uerope kwasababu wanchezea huko.
Timu imejengwa kwa majina mawili, Luiz na Neymar

Enzi hizo kuna akina Ronaldinho, Bebeto, Romario , Dunga hata mmoja akikosekana kuna wanne wanasubiri sub nje.

Nimefurahi sana kipigo, ile si timu ya kufika fainali. Kila mahali ni ndondocha ndocha tu hadi walipokula 7.

Teh teh teh go Germany go!
 
Jibu swali langu baada ya kina Albarto Carlos, Ronaldo na wengineo hakuna wengine ukiacha Neymar na huyo Luis?......hapa ni ubaguzi kama vile Marcimo alivyomweka pemben kipa bora Tanzania

Nijibu tuu Brazili kwa sasa ina staa wawili tuu yaani Neymar na Luis?
 
utoto umewajaa brazil, wamejiharibia wenyewe kisaikolojia, sasa huyo neema na silva watajaa misifa kweli
 
Jibu swali langu baada ya kina Albarto Carlos, Ronaldo na wengineo hakuna wengine ukiacha Neymar na huyo Luis?......hapa ni ubaguzi kama vile Marcimo alivyomweka pemben kipa bora Tanzania

Nijibu tuu Brazili kwa sasa ina staa wawili tuu yaani Neymar na Luis?

....hata huyo Neymar anakuwa overated.....hamna kitu pale cha kutisha.....
 
Asiyekubali kushindwa si mshindaji. Kiukweli brazil team yangu ila Brazil ya sasa siyo ile ya zamani toka mwanzo wa mashindano walionesha kuwa wanazidiwazidiwa ila ndio hvyo bado naipenda pamoja na magoli yasiyo na staha waliyotutundika jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom