Next week: Ukweni for the first time

Nawshukuru wooote kwa michango yenu,mlioniombea Mabaya mmeshindwa,mlionitania mmenipa faraja kubwa sana,mlionionea wivu Kunyweni sumu.
Nhskabidhiwa Rasmi,sasa nntatangaza ndoa fastaaa,na nitaomba support yenu pia wana MMU.
Cheers
 
Pray for me MMU Members in the next week's Event
Nilikuwa napita pita mkuu nikakutana na 'hili kaburi' nikaamua kulifukua. I'm curious, Ndoa bado upo ndani yake? How are things? Samahani lakini :D
 
Nawshukuru wooote kwa michango yenu,mlioniombea Mabaya mmeshindwa,mlionitania mmenipa faraja kubwa sana,mlionionea wivu Kunyweni sumu.
Nhskabidhiwa Rasmi,sasa nntatangaza ndoa fastaaa,na nitaomba support yenu pia wana MMU.
Cheers
Usisahau kubeba kahela ka emergency
 
Vipi mke unamuonaje katika kipind hik cha miaka 9 ya ndoa?

Sent using Gun Trigger
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom