Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
aliowaita ni nani?
mtu pekee mwenye uwezo wa kuwaita mawaziri wote Dar wakatii..aliowaita ni nani?
Habari zinazoingia KLH News sasa hivi ni habari kuwa Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatakiwa warudi Dar. Hata hivyo sababu ya kuitwa kwao haijajulikana wazi na kama inahusiana kwa namna yoyote na hali ya kisiasa nchini Kenya au siasa za ndani za Tanzania.....
mtu pekee mwenye uwezo wa kuwaita mawaziri wote Dar wakatii..
Waziri mkuu, makamu wa raisi, au raisi?
Waziri mkuu nae pia ni waziri count him out.. VP yupo kama hayupo count him out as well, u will have only one obvious Man...
Are you sure about that...?
mtu pekee mwenye uwezo wa kuwaita mawaziri wote Dar wakatii..
Chanzo cha habari kitakusaidia nini ? Ukisha kipata na ukajua ni kweli bwana masatu ndipo utafanya nini ?Hujaulizwa wewe umepewa tip kaa pembeniu ngojea tuone kinacho jiri. Sisi tuko huku juani tunazitafuta habari ili kijua kunani .
Mbona mnakuwa na magonjwa ya kudai chanzo cha habari hapa kila siku na mwisho wa siku unakuta nyuzi ni kweli ?