News Alert: Mawaziri wote waitwa Dar

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Habari zinazoingia KLH News sasa hivi ni habari kuwa Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatakiwa warudi Dar. Hata hivyo sababu ya kuitwa kwao haijajulikana wazi na kama inahusiana kwa namna yoyote na hali ya kisiasa nchini Kenya au siasa za ndani za Tanzania.....
 
Great mwanakijiji.............. Nadhani baraza jipya limeshasukwa.
 
Jamani msishangae bure. Mmesahau ule utamaduni wetu wa kuandaa shughuli za kuaga mwaka na kuanza mwaka mpya? Hapo wanaitiwa bonge la party, na baada ya hapo party zitaendelea kwenye wizara zao na mashirika hadi mwezi May. Hii ndio Bongo bwana, kila kitu shwari!
 
Ni kweli, nafikiri nili-over-react hasa kwa vile leo ni wikiendi.

Hata hivyo ningependa serikali iwe pruned down na kufanywa more efficient and accountable
 
Tupatien Latest Waungwana,maana Kwa Mujibu Wa Gazeti Mtanzania Wameikuza Kiasi Cha Kuanza Kuonyesha Ile Kiu Ya Umma Kwa Mfalme Kukiri Mabadiliko Ya Sirikali Mpya
 
Habari zinazoingia KLH News sasa hivi ni habari kuwa Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatakiwa warudi Dar. Hata hivyo sababu ya kuitwa kwao haijajulikana wazi na kama inahusiana kwa namna yoyote na hali ya kisiasa nchini Kenya au siasa za ndani za Tanzania.....

Wameitwa haraka baada ya rais kupata ushauri kutoka kwa mshauri wake mkuu M7.
 
Kama ni M7 ina kumbe ile statement ni yao wote na huku Chiligati analeta zake za kusema ni ya Museveni pekee ? Usanii bwana .
 
Chanzo cha habari kitakusaidia nini ? Ukisha kipata na ukajua ni kweli bwana masatu ndipo utafanya nini ?Hujaulizwa wewe umepewa tip kaa pembeniu ngojea tuone kinacho jiri. Sisi tuko huku juani tunazitafuta habari ili kijua kunani .

Mbona mnakuwa na magonjwa ya kudai chanzo cha habari hapa kila siku na mwisho wa siku unakuta nyuzi ni kweli ?
 
Tudumu ktk subira waungwana;tutafhamu tu nini kimejiri ila tatizo ni kwamba kila mtu atasema nime break mimi,ni ushauri tu baada ya kuwaomba majemedari wetu wa habari.

Mungu ibariki Africa
 
Chanzo cha habari kitakusaidia nini ? Ukisha kipata na ukajua ni kweli bwana masatu ndipo utafanya nini ?Hujaulizwa wewe umepewa tip kaa pembeniu ngojea tuone kinacho jiri. Sisi tuko huku juani tunazitafuta habari ili kijua kunani .

Mbona mnakuwa na magonjwa ya kudai chanzo cha habari hapa kila siku na mwisho wa siku unakuta nyuzi ni kweli ?

Hold on a minute.. kabla hujakurupuka na mipasho yako chukua taabu ya kusoma kilichoandikwa japo kidogo. Wapi nimeandika nataka chanzo cha hiyo habari?

Kweli wafrika ndio tulivyo.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom