News Alert: Mawaziri wote waitwa Dar

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,874
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,874 2,000
mkjj....

ktk hii thread nilikujibu kwa utani tu nikachukua bandiko la SHETANI na kuweka hapa,nashangaa imefutwa.umeifuta wewe au MODERATORS?naomba unieleweshe
.
sina nguvu za kufuta chochote hapa ndugu yangu.. ila bandiko la Shetani uliweke kwenye mada ya Mchungaji mtarajiwa.. unataka tuanze kufukuzia uvumba au ndiyo tuanze mambo ya "kiti anataka new computer"..?
 
Machiavelli

Member
Joined
Oct 3, 2007
Messages
75
Points
95

Machiavelli

Member
Joined Oct 3, 2007
75 95
JK willingness to play the press corps for suckers is enviable. Promise a 'major address' on some pressing issue, play the expectations game according to the Conventional Wisdom -- that is, raising the stakes by having surrogates use back channels to inflate expectations about the importance of the substance to be addressed -- and then turn it all on its head by delivering nothing of what was promised, and daring the press to write their stories with their pants down, having played into the game of promising something big.
 
Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,549
Points
1,225

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,549 1,225
Hold on a minute.. kabla hujakurupuka na mipasho yako chukua taabu ya kusoma kilichoandikwa japo kidogo. Wapi nimeandika nataka chanzo cha hiyo habari?

Kweli wafrika ndio tulivyo.....
wewe una matatizo mimi nafikiri.. sasa waafrika hapo tumeingia vipi.... dunia ina watu zaidi ya bilioni 6... je umekwisha fanya uchunguzi kwa watu wote hao na kuona kwamba waafrika TUU ndio wapo hivyo... kama unataka kujibu hoja mjibu aliyekujibu yeye binafsi na usitake kuwaingiza watu wote humu.... kwa nini usiseme wewe na familia yako pamoja na huyo unaye mjibu hoja ndivyo mlivyo????kama maisha yamekushinda usitake kuanza kulaumu wengine kaa pembeni na sisi waafrika tutajenga nchi zetu halafu wewe utakuja kuishi tuu na kula bure kutokana na jasho letu manake ndio kitu kutokana na maneno yako unachoonyesha unaweza kufanya (kukimbia matatizo kwa kutoa majibu rahisi)......kumbuka ukitaka kusafisha mfereji lazima uingie na uchafuke ndio uweze kutoa uchafu na sio kukaa kwenye uzio wake na kunyoosha kidole mbona maji hayaendi na kuanza kusingizia mvua, mikojo n.k.......
 
zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,071
Points
0

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,071 0
Jamani, hebu nifahamisheni cha ajabu ni nini? Jee cha ajabu ni mawaziri kuitwa Ikulu? Chochote kitachojiri huko baada ya kuitwa, cha ajabu ni nini? hebu tuwe productive kidoooogo. Mi sioni cha ajabu hapa, hata iwe kuna re-shuffle, ni nini cha ajabu? hamkumbuki kuwa hakuna awamu iliyokuwa ikiwaingiza na kuwatowa mawaziri kama ilivyokuwa awamu ya kwanza, awamu ya Nyerere, na nini alichokitengeneza mpaka kufa kwake? si alituwacha maskini wa kutupwa, tupo hoi, hohe hahe. Sasa nyinyi mnategemea nini kutoka kwa hiki kitoto sijui kijukuu cha system hiyo hiyo aliyoiacha yule mzee? Wa-Tanzania ni watu wa kushangaza kweli, kwa sababu mnachunguza, mnachokonowa, mnasema saaana, mnajuwa yote yanayojiri na yatayojiri lakini mnashindwa kujuwa au kuelewa kuwa system ni ileile na bado iko kazini. Jee mnaijuwa system ni nini?

Jamani wacha awaite kila siku, usiku na mchana ndio iwe nini? kama jamaa mmoja alivyosema hapo juu, ni paty tuu, kweli inawezekana kuwa ni party tuu. Yaani mnashindwa kuelewa simply, kuwa anapofukuzwa waziri au kupelekwa kwingine, haiwezekani wakaitwa mawaziri woote. huitwa yule tuu anae limwa!
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,700
Points
1,500

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,700 1,500

Hata mimi nashangaa tunabishana hadi tunatoka nje ya mada, ama kweli huu ni udaku. Niliamini JF hapawezi kuwa na something of this udaku katika habari kama hii lakini unakuta mwanachama anaipindisha habari upande mwingine kabisa ili tuhame na kuianza yake. Hayo ya Zakia M na RA mbona ya thread yake? Jimwageni huko.
 
mwehozi

Member
Joined
Nov 5, 2007
Messages
9
Points
0

mwehozi

Member
Joined Nov 5, 2007
9 0
unajua kila linapotokea jambo, lazima binadamu wa kawaida ajiulize. hiyo ndiyo falsafa ya binadamu. na mara zote binadamu anayetumia rasilimali yake atafanya hivyo. ninaona ni muhimu kuuliza na kujenga hoja kwanini wakati huu na sio jana. kwa nini iwe haraka na huku kuna kalenda yao ya kila siku. hawa watu wanafanya kazi za wananchi na hivyo kama kuna dharula yoyote basi lazima tuwe hat hati kujua ni kwa nini

inawezekana antaka kutangaza vita na kadharika. falsafa ina majibu mengi, na ninadhani aliyeleta hii habari kajiuliza pia. na ndiyomaana yuko hapa. watu wanakosa usingizi kwa kuwaza hatima ya inchi yetu, ndiyo maana utakuta ujumbe ulioandikwa saa za usiku wakati huyo mtu yuko hapa hapa tanzania.

mshukuru mungu kama huna mawazo yoyote yakukufanya jambo ulifikirie mara mbili na zaidi.
 
Masatu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2007
Messages
3,284
Points
1,195

Masatu

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2007
3,284 1,195
wewe una matatizo mimi nafikiri.. sasa waafrika hapo tumeingia vipi.... dunia ina watu zaidi ya bilioni 6... je umekwisha fanya uchunguzi kwa watu wote hao na kuona kwamba waafrika TUU ndio wapo hivyo... kama unataka kujibu hoja mjibu aliyekujibu yeye binafsi na usitake kuwaingiza watu wote humu.... kwa nini usiseme wewe na familia yako pamoja na huyo unaye mjibu hoja ndivyo mlivyo????kama maisha yamekushinda usitake kuanza kulaumu wengine kaa pembeni na sisi waafrika tutajenga nchi zetu halafu wewe utakuja kuishi tuu na kula bure kutokana na jasho letu manake ndio kitu kutokana na maneno yako unachoonyesha unaweza kufanya (kukimbia matatizo kwa kutoa majibu rahisi)......kumbuka ukitaka kusafisha mfereji lazima uingie na uchafuke ndio uweze kutoa uchafu na sio kukaa kwenye uzio wake na kunyoosha kidole mbona maji hayaendi na kuanza kusingizia mvua, mikojo n.k.......
U have just proved my point!
 
JC

Member
Joined
Dec 19, 2007
Messages
43
Points
0

JC

Member
Joined Dec 19, 2007
43 0
Nicheke mie Asha. Kwani si walifika Rais akawaaga kuwa anakwenda Kenya kusuluhisha? Handsome JK bwana!

Asha
Hi Dada Asha.. Do you real mean this.."Handsome JK"? Unaweza usijali ukatufafanulia tu inakuwa je haswa and when this it happens to your Prizideeee??
 
Forum statistics

Threads 1,390,556
Members 528,185
Posts 34,054,545
Top