Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,392
- 39,493
Habari zinazoingia KLH News sasa hivi ni habari kuwa Mawaziri wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatakiwa warudi Dar. Hata hivyo sababu ya kuitwa kwao haijajulikana wazi na kama inahusiana kwa namna yoyote na hali ya kisiasa nchini Kenya au siasa za ndani za Tanzania.....