Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,471
- 6,371
- Thread starter
- #141
Mkuu Kila timu dunia hii ina mmiliki wake hata simba wamiliki wake wakubwa ni Wananchi wenyewe ambao wana 51% ya hisa za klabu ila 49%ya hisa za klabu ameuziwa Mo dewji na pesa ame deposit bank kwa ajili ya kuifanyia maendeleo timu hiyo ya watu.Hivi wadau hebu nitoeni tongotongo hapa, Kwani wanaposema timu imeuzwa hivi hizo hela anakula nani,, ikiwa timu ambayo haina mmiliki kama ilivyo Chelsea,PSG', man city etc.