Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Mkuu Saudi Arabia hakuna Njaa.

Nchi za Kiarabu zilizopo Bara Arabu (Ukitoa zilizopo Afrika) zenye Njaa ni zile zenye Vita tu Yani SYRIA, PALESTINA, LEBANON, YEMEN na IRAQ.

Lakini Nchi kama DUBAI, SAUDI ARABIA, BAHRAIN, QATAR, OMAN na JORDAN hawa Ni Matajiri wana Mihela watu wanakula Bata tu hakuna kitu kinachoitwa Njaa.
Halafu hizi familia za kifalme za Kiarabu now kama wanashindana kumiliki hivi vilabu baada ya Saudi Arabia kumiliki Newcastle, sasa ni zamu ya Qatar royal family wanahitaji arsenal kwa nguvu sana
 
Qatar royal familiy
IMG_20211008_215541_451.JPG
 
Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.

Bezos ni mfanyabiashara Tajiri zaidi, ila kuna wanasiasa wengi sana wana hela za kuchezea.

Wapo pia wauza madawa na watu wengine wanaofanya biashara haramu.
Vladimir Putin yupo kwenye list ya Billionaires duniani, How comes?

At least nimemuelewa yule aliyesema matajiri wengi wa kiarabu hutowakuta kwenye hizo list.
 
Nawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.

Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.

Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme?
Tech inakuwa inakuwa sana.

Kwa sasa tech ilipofika ukicharge battery gari inaenda more than 400 miles.

Na unakuta ukicharge kwa dakika 15 unapata more than 200 miles.

Refer Tesla Model S Plaid Edition

Hatujui ya siku za mbeleni.
 
Halafu hizi familia za kifalme za Kiarabu now kama wanashindana kumiliki hivi vilabu baada ya Saudi Arabia kumiliki Newcastle, sasa ni zamu ya Qatar royal family wanahitaji arsenal kwa nguvu sana
Iko siku timu zote za England zitamilikiwa na Waarabu.
 
Vladimir Putin yupo kwenye list ya Billionaires duniani, How comes?

At least nimemuelewa yule aliyesema matajiri wengi wa kiarabu hutowakuta kwenye hizo list.
Hayupo kwenye list ya billionaire official, na hatakuwepo, hio list ya Forbes hai deal na wanasiasa, ila hizo ni claims tu za wafanyakazi wake wa zamani.
 
Vladimir Putin yupo kwenye list ya Billionaires duniani, How comes?

At least nimemuelewa yule aliyesema matajiri wengi wa kiarabu hutowakuta kwenye hizo list.
Vladimir Putin yupo kwenye list ya Viongozi matajiri wakubwa duniani
 
Nawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.

Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.

Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme? 😂😂😂

Duh umeandika rubbish gani hapa
Umeawahi hata Ku Google?

Hakuna malori ya umeme?

Muwe mna Google kwanza

Berri za masaa mawili?Berri zipi?
We unajua Tesla wanatumia Betri za IST?..
Usiongee with confidence vitu ambavyo huvijui..
 
Mkuu Saudi Arabia hakuna Njaa.

Nchi za Kiarabu zilizopo Bara Arabu (Ukitoa zilizopo Afrika) zenye Njaa ni zile zenye Vita tu Yani SYRIA, PALESTINA, LEBANON, YEMEN na IRAQ.

Lakini Nchi kama DUBAI, SAUDI ARABIA, BAHRAIN, QATAR, OMAN na JORDAN hawa Ni Matajiri wana Mihela watu wanakula Bata tu hakuna kitu kinachoitwa Njaa.

Saudia arabia hakuna hata Ombaomba kwa akili yako?Watu wote wanalipa bata?
Silent is golden
 
Nawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.

Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.

Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme? 😂😂😂

Chief-Mkwawa hebu elimisha watu dizaini hii kuhusu magari ya umeme
 
King Ngwaba
Malori ya umeme yapo mfano Volvo wanalo FL electric yanafika mpaka Tani 27.

Yanatembea umbali hadi KM 300 kwa Charge moja na muda wa kuchaji ni masaa 2.

Hivyo kama unakuwa na station za kuchrge baada ya muda fulani unaweza kutumia.

Changamoto bado zipo ila Tech za Battery na kuchaji zinaongezeka kila siku.
 
Halafu hizi familia za kifalme za Kiarabu now kama wanashindana kumiliki hivi vilabu baada ya Saudi Arabia kumiliki Newcastle, sasa ni zamu ya Qatar royal family wanahitaji arsenal kwa nguvu sana

Sheikh Mansoor wa Man City nahisi naye kwao ni Qatar
 
Saudia arabia hakuna hata Ombaomba kwa akili yako?Watu wote wanalipa bata?
Silent is golden

Yes hakuna Nina uhakika wa hilo, Saudi Arabia inatoa Takriban Dola 800M Per year as a humanitarian Aids kwa nchi za PALESTINE na SYRIA.

Its a rich country
 
Kwahiyo USA ambayo Inasaidia nchi nyingi na kutoa mabilioni huko duniani haina masikini wala njaa hakuna hata Ombaomba hakuna?

Yaani wewe nje ya football you are practically illiterate kabisa...
 
Saudi sio kama bongo mzee hata kama wana maisha magumu huwezikulinganisha na sisi choo cha shimo.
Huko SAUD hakuna mwenyewe Njaa wana system kama za ulaya kama huna kazi unapewa hela ya kuji kimu kimaisha lkn ni kwa RAIA wao tu ila kutokana na life standard yao inakuwa haitoshi.
 
Kwahiyo USA ambayo Inasaidia nchi nyingi na kutoa mabilioni huko duniani haina masikini wala njaa hakuna hata Ombaomba hakuna?

Yaani wewe nje ya football you are practically illiterate kabisa...
gettyimages-1210677778.jpg

Los angels hio, USA Kuna Homeless kama laki 5,

Japo Saudi Arabia wapo vizuri na Hawana Shida kama US, ila na wao pia wapo responsible kuwapiga mabomu wayemen na Yemen wana njaa Africa tuna Afadhali.
 
Nawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.

Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.

Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme?
Labda hapo kwenye malori ,Ila ulaya kuna mabasi kama haya ya mwendokasi yanatumia nyanya za umeme
 
Mmiliki mpya wa klabu ya Newcastle United "Mohammed Bin Salman" anamiliki nyumba ghali zaidi duniani ambayo ina kilabu (nightclub) ndani yake, swimming pool za ndani na nje, sehemu za starehe, Gym pamoja na sehemu ya kutengenezea Divai (wine)

Mmiliki huyo mpya wa Newcastle United anamiliki nyumba hiyo ambayo ilinunuliwa kwa £ 230m mnamo 2015.

Mohammed Bin Salman amekamilisha kuichukua klabu ya Newcastle United Kwa Mkataba uliopendekezwa wa pauni milioni 305.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom