Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

Hivi wadau hebu nitoeni tongotongo hapa, Kwani wanaposema timu imeuzwa hivi hizo hela anakula nani,, ikiwa timu ambayo haina mmiliki kama ilivyo Chelsea,PSG', man city etc.
Mkuu Kila timu dunia hii ina mmiliki wake hata simba wamiliki wake wakubwa ni Wananchi wenyewe ambao wana 51% ya hisa za klabu ila 49%ya hisa za klabu ameuziwa Mo dewji na pesa ame deposit bank kwa ajili ya kuifanyia maendeleo timu hiyo ya watu.
 
Arsenal msimu huu 2021/2022 wakizingua kutokuingia top 10 nitajiunga na Newcastle utd.
Maana kwa msimu 2022/2023 United itakuwa moja tu. Nayo ni Newcastle
 
Kwahiyo unahisi wengine hawajui kugoogle? Mimi sizungumzii Google Uvinersity yako unayoamini imekutoa illiteracy, Nazungumzia uhalisia niliouona kwa Macho yangu! Saudia nimefika mara mbili na nimetembea Miji ya Riyadh na Jiddah na Najd, pia nimefika maeneo mengi ya Nje ya Mji.

Soma tena ulichocopy na kupatse halafu jiulize tena mara mbili 'Unazungumzia Umaskini Gani'? Ni kweli wako Watu hawana Nyumba za kwao wenyewe! Lakini unadhani wanalala kwenye Tents au barabarani kama India? Hapana! Mtu hana Nyumba lakini Akifika Apartment na anamiliki gari na maisha ya kawaida ambayo ana uhakika na kula yake ya kila siku, Mavazi, kusomesha Watoto na hela ya Matumizi mengine au kumiliki hata gari ndogo. Huyo ndiyo anayeitwa Masikini wa Saudi Arabia! Usidhani kama kuna Masikini kama wa hapa Mbagala Kibonde Maji.

Bado nasimamia kauli yangu kubwa nipo sahihi.

I rest my Case
Unajua the boss alivyo present hoja yake kwa mara ya kwanza na hapa nanukuu.."Exactly...huku wananchi wanalia njaa
Nchi ina invest kuwanunua kina mbape"
Unaweza kusema ni sawa na huku kwetu ambako tunaishi chini ya dola moja. Ikanibidi fasta nikapekue per capital income ya huko inasomekaje nikakuta

Mahesabu yalivyo fanyika raia wake kipato cha siku kinakadiriwa kufikia elfu themanini kwa siku (pesa ya kitanzania) wakati sisi huku ni chini ya elfu tatu🤔🤔

Sasa nchi kama hiyo huwezi kusema eti wananvhi wake wanalia njaa nadhani anajaribu ku justfy hoja zake tu bila kuangalia uhalisia. Wanasaudia siwezi kusema eti wanalia njaa hapana nakataa. Na ikitokea watu laki tano au milioni nchi nzima ndio wanaoishi ktk umasikini huwezi kuhitimisha eti wananchi wa saud wanalia njaa
 
📰🗣️ Mike Ashley is looking to buy Derby County after his 14-year reign at Newcastle was brought to an end this week.
 
Mike Ashley amepata pesa kutoka kwa Waarabu, now anatumia nusu ya Pesa hiyo kwenda kuinunua timu ya Derby County
 
Hapa nilicho ona tutabishana Sana simply tuko level tofauti mno za uelewa...

Mtu anaenda Dubai halafu anasema Dubai haina masikini kwa sababu kaona maghorofa na magari..
Wakati juzi juzi Tu Dubai ilipata crisis kubwa mno ya uchumi na ikagundulika madeni Yao ni makubwa mno ya uwekezaji waliofanya...

Mtu mwenye akili ya kawaida anawaona Saudia Arabia matajiri Sana
But watu wanaotazama data wanaona
Saudia Arabia now Wana watu milioni 4 belowa poverty line na wanaongezeka..
Wanategemea mafuta ambayo hawana control Sana na bei ya mafuta..
Miaka 50 ijayo population itaongezeka..
Technology za mbadala wa mafuta zinaongezeka ...
Kuwekeza mabilioni kwa mpira ni upumbavu
Unemployment rate tayari iko juu..

Jitu linakuja kusema Saudia Arabia hakuna masikini sababu alitembelea mjini ..Miji miwili...

Sawa na mtu anaeishi Upanga aseme Tanzania hakuna wamama wanaotembea kilomita 20 kutafuta maji Safi ..
Now that we call ilitirate person..

Huwezi bishana na data za wold bank na IMF..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom