The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,883
Labda hapo kwenye malori ,Ila ulaya kuna mabasi kama haya ya mwendokasi yanatumia nyanya za umeme
Hata malori yapo na technology inazidi kui improve...
Tesla Wana project malori yatembee kilometres 300 bila ya kuchaji..
Plan za kuweka malori ya umeme na auto pilot imeshaanza ..soon watu watakosa kazi..
Na malori hayatahitaji mafuta..