New Release Diamond ft Mr. Flavor

New Release Diamond ft Mr. Flavor

Hapana sijasema za sasa sio Bora kama za zamani..., sababu hata tampata wapi ya sasa naona ni bora sana.., hata ile Featuring na Hadija imetulia.... POINT yangu ni kuwa huu ni wa Kawaida ukilinganisha na kazi zake nyingine.., kwangu mimi hata ile Number One na promo zote ilikuwa ya kawaida sana...., lakini maybe its just my taste ni vitu vilivyotulia

Naanza kwa ku declare interest kuwa mi ni shabiki wa Diamond. Hii audio ya #nana ni ya kawaida kabisa kiasi kwamba siwezi kuifananisha na nyimbo zake kama #ukimuona , #kesho , #Natakakulewa #mbagala #ntampatawapi #Nasemanawe na zingine nyingi nzuri, BUT trust me hii nyimbo itafanya vizuri sana SIO kwasababu amemshirikisha #Mr flavour Nooo ila ni kwasababu ameifanya video at the best level kiasi kwamba kwa soko la Africa itauzika sana.
Kuhusu video the guy hajawahi kukosea hata kidogo. Kavaa uhusika, kadance vizuri sana keep it up Bro, u still shining. #Nimaoniyangu !
 
Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.

Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.

Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.

#KINGKIBAFOREVER

Hayo ni maoni yako tunayaheshimu Ukisema Diamond anabebwa unajifariji tu na wewe unalijua hilo .Basi mjitahidi kumshauri na Alikiba afanye mazuri. Hatupendi kumshabikia mtu mmoja But no way tufanyeje sasa maana wengine hata ile kuwa katika comfort zone hatuwezi.
 
Aliisemaga wanampa kiki ya kujisukuma pia ila anafanya kazi sana kujinyanyua mwenyewe, bali wivu wa hawa watanzania na chuki zao ni mbaya sana wanatia aibu nchi yetu ni wamezidisha sanaaaaaa

Wasichana na wanawake wengine wa kiTanzania ji janga la taifa kwa jinsi wanavyofanya na maansishi yao maneno machafu hadi kinyaaaaaa esp ukute kwenye post ya msanii anayependwa na watu wengi D, wa nje wanashangaaa hawaamini lakini tatizo umaskini, wivu, chuki duh shame

I think its fine...hatuwezi kulazimisha kila mtu ampende...

Lakini kuna kanuni moja kuwa ukiona huchukiwi na watu una matatizo
 
Kwanza ni nadclare interest mimi ni TeamKiba Damu damu.

Nipo safarini network inasumbua lakini nimejaribu kuipitia kidogo ila kiukwel huu wimbo ni mkali kuanzia Audio mpaka video, lakini ngoja kwanza badae nitaipitia tena vizuri ili nibaini mapungufu yake maana nimeona jamaa kacope script nyingi za wimbo wake wa moyo wangu kitu ambacho kineondoa radha nzima ya hii video yani kama mtu umewahi kuona video ya Diamond moyo wangu basi ukiona hii utakeleka sana maana ni cppy and paste, pia mr.flavor kambeba sana diamond yani kama bila mr.flavor basi sijui huu wimbo ungeishiwa kuchezwa bar tu na uswahilini.

Lastly, ila haka kajamaa kidogo kanajua mziki japo bado sana kumfikia kingKiba for real, maana kwa mziki huu wa kubebwa na davido mara mr.flavor basi diamond kumfikia kingkiba ni miaka 1000.

#KINGKIBAFOREVER

Comment za kitoto na wivu usio kuwa na tija. Huyo Kiba hatapanda kiwango kwa comment hizi bali kazi zinazoonekana bayana. Diamond ukweli yuko level nyingine kwenye muziki. Mpe haki yake anapistahili. Uliyosema labda ni vice versa. Itachukua 1000 years kwa Kiba kufika alipo Diamond
 
mwenzako anasema hivi..

  • Duh! Yaani idea ikiwa ni ya video za nyuma ndo tayari keshaishiwa?! And what about wanaofanya re-mix za nyimbo zao za zamani au nyimbo za wengine?! Hao unawaitaje??!!! By the way, ikiwa idea aliipenda lakini anafahamu by the time ilitoka kwa mara ya kwanza, alikuwa too local na kwa sasa kv anapata attention mbali zaidi ya East Africa, ameamua ku-revive the very same idea.. tatizo lipo wapi hapo? Haya mambo mbona hata kwenye Films yapo, kwa mfano, Homeland, American TV Series ni Prison of War ya Israel... unataka kusema Howard Gordon and Alex Gansa wameishiwa??!!​




kwani mpaka sasa ni moves ngapi zina idea ya mimi na flani tulikuwa wapenzi, kwa sababu flani flani tukatengana kila mtu akapotelea kusikojulikana kumbe wakati huo mimi niliondoka na mimba changa, tukija kukutana baadae unakuta mtoto mkubwa.............. ina maana unakuta watunzi wameishiwa idea???
 
Alikiba anatakiwa amshukuru Diamond sana kwa kumrudishA kwenye chart.yaan mwezanko anafanya ubunifu kama huu alafu watu wanakuja kukubeba wewe kwa sababu wanamchukia jamaa

u got my points,wakati wapenzi wa kiba wakimshutumu dai kuwa anatembelea nyota za wanawake wanasahau kiba huyo huyo anafaidika na wanawake hao hao indirect kupitia mgongo wa diamond JAPO NOW IMESHAKUWA DIRECT, and this is very very true bila ubishi kuwa kiba anasafiria nyota ya diamond.
 
Back
Top Bottom