Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Namuona shemeji Iyobo... Anavyo isakata Nana lol
Nyimbo nzuri wallah.....
Nyimbo nzuri wallah.....
Hii video inavutia na audio inachezeka, anastahili pongezi.
Dakika chache tu baada ya release viewers wamefika hao
hiyo 301 nahisi ime stuck kwa sababu since saa moja ipo ivoivo tu
hiyo 301 nahisi ime stuck kwa sababu since saa moja ipo ivoivo tu
Anastahili pongezi, anajua anachokifanya. Anatufanyia watanzania tutembee vifua mbele kwa sababu ya jina lake.Dakika chache tu baada ya release viewers wamefika hao
Itaji update baadae labda
Mzima were mamy
Nimeurudia rudia weeee 😘
Yap YouTube inachukua mda kucheki views 'legit' ....ila inakalibia laki mbili sasa !! Mmmhm wapiii kibakuli 😂😝
For the first time nathubutu kusema DIAMOND MKALI!
Kawaida tu hakuna jipya. Ktk nyimbo itakayopotea haraka masikioni ni hii mnayosifia. Mnatakiwa mseme ukweli sio kusifia tu kisa team.