SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Mchana
hama home kapange ukimuua baba ako atakuuwa pia achana na uboya
Bado wake wawili kukamilisha sunnah
Weka nia kwenye maombi yako na tamka maneno unayotaka Mungu akutendee,amini ktk yeye
Kamwone dakitari ili wewe upimwe ujulikane kama huna mfadhaiko wa mawazo. Hilo likishakuwa ruled out sasa jitahidi kupata hard evidence kuwa mama huyo ni mchawi. Mambo ya kuongea tu bila udhibitisho ni tatizo. Wewe ni nani utake kuhukumu?
omba dua sana Mungu atafungua milango yake
just kill her,
Ndugu mi nshaomba sana... ila huyu mama ni kiboko,kila siku afadhali ya jana