eselungwi
Member
- Mar 12, 2012
- 97
- 70
hapana mkuu sio mziki wao wa asili,ndo maana nikaaminisha tumwache dogo aimbe mziki as long as unatufurahisha maana kila nyimbo haikosi wakosoaji kila staili atayoimba maana atleast anaonekana anatupa nafasi ya kuonekana maana kila sekta tumeshindwa si mpira wala nn ni heri huyu anayetupasifa kuliko wanaomponda alafu hamna cha maana wanacho kifanyaMkuu kwani muziki wanaoimba wanaigeria sasa ndiyo mziki wao wa asili?