Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,892
Kuimba na kucheza kama wanaigeria ndiyo wanachompendea wanaona kama mnaigeria mwenzao. Kuna rafiki yangu Mghana yeye ndiye jana amenitumia hiyo nyimbo huku akisema hachoki kucheza na kuimba hiyo nyimbo hivyo huko West africa wanamkubadili kwa ubunifu wake wa kuimba kama wao.
Binafsi sina tatizo na mafanikio ya Diamond ila mie kugeza sana kwa kuimba au kucheza kama taifa lengine huwa sipendelei sana.
Binafsi sina tatizo na mafanikio ya Diamond ila mie kugeza sana kwa kuimba au kucheza kama taifa lengine huwa sipendelei sana.