mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Duh. Wenzetu mna moyo. Dume zima linasikiliza nyimbo za Diamond? Mabinti wa form two je?
Duh. Wenzetu mna moyo. Dume zima linasikiliza nyimbo za Diamond? Mabinti wa form two je?
Tabu yao bado wana chuki na Diamond, jana hawajalala wanafikiria bado wamshushaje ili kumpaisha aliekaa kijiweni anyanyuke
Ndio wanaokazania kudonoa madislike, kuandika ----- wakati kazi wanaiona bali wivu na roho mbaya zimewajaaa.
Now wamwangalie tu D akizidi kuwika huko nje ya nchi kwa raha zake.
Yaani kiba alivyokosa na show ya LOWASSA leo ndio basi tena!
kaka umenifurahisha kwa gharama nafuu..:teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth::teeth:Naona chuki yangu kwa Domo inaondoka taratibu!!!... sasa naanzaje kuchukia video kama hiyo sasa???
ADMIT..Duh. Wenzetu mna moyo. Dume zima linasikiliza nyimbo za Diamond? Mabinti wa form two je?
Mmmmhhhhhh me nlichokisikia sana ni ooooooohhh nana na nncccccc...! Sijaelewa hivi huyu jamaa hamna siku anatoa nyimbo yakuelimisha jamii zaidi ya love scenarioz..! Alafu wengi wanopenda mziki wake basii ukichunguza utakuta alishateshwa au ananyanyashwa na mapenzi..! Dats a pure Truth
Utakua una matatizo.... King wenu mwenyewe alishasema mapenzi yana run dunia...
King gani...? Absolutely yana run but mapenzi ulaya bongo ni bussness..! Soo abadilike zile pigo za nncccccc kama bedrock me nashindwa kuelewa kabisa...!
Ndiyo, vipi na like mara kwa mara page yako nini.?
Sikuwai kuiona ni kwenye theard gani?Haaa kuna siku niliona screen shot ya comment yako huku katika thread kwenye page ya WCB uliiona?
Watu full Ku support ulichoandik